Yaani am glad umeweka neno "jitahidi" maanakemwanaume mwenye mtoto nje huwa namuangalia kwa jicho la tatu. jitahidi tu kumtreat kama mtoto wako, mtoto akinyea kiganja huwezi kukikata.
Nilijitoa kabla ya Mentor mbona....!!umejitoa ubazazini?
mleta mada..usichoke...wewe na mumeo wote inabidi mshirikiane..miaka saba bado mdogo...kama akienda kwa mama yake anarudi na tabia mbaya kuliko mwanzo,acheni kumpeleka....muda wa kumkunja samaki huyu ni sasa
Una maana ipi na jicho la tatu mamitomwanaume mwenye mtoto nje huwa namuangalia kwa jicho la tatu. jitahidi tu kumtreat kama mtoto wako, mtoto akinyea kiganja huwezi kukikata.
mwanaume mwenye mtoto nje huwa namuangalia kwa jicho la tatu. jitahidi tu kumtreat kama mtoto wako, mtoto akinyea kiganja huwezi kukikata.
Duh..mie nnao wawili, halafu nawapendaje wanangu! Mpaka huwa nafikiria sitakuja kuoa tena, wanangu wasije teseka bure. Ila usituchukie hivyo single parents wa kiume, we really are good people, best you can ever have!
Una maana ipi na jicho la tatu mamito
pole sana ila huyo mwanamke aliyezaa nae anakuonea wivu sana na ndio maana anamjaza mtoto upumbavu ili aivuruge ndoa yenu, jitahidi kuongea na mzee wako kuhusu kuwa mtoto asiende ende sana kwa mama kwani wewe upo au kuwe na uangalizi wa kina anapoenda huko ili kuepusha kumjaza mambo yasiyofaa, hata hivyo Mungu awe mbele kwani anaweza hata kukuloga ili uachike
Ni kweli mdau nilikuelewa ila mie niliangalia mwisho wa siku itakuaje maana kuna familia jitu lina miaka 25 lakini bado ni fujo tu mama wa kambo, hata kama atakwenda boarding lakini juhudi zifanyike kuhakikisha anarudi kwenye mstari maana ni mtoto mdogo na akiendelea hivyo ukubwani ndio itakuwa shida zaidi (tatizo mama yake mzazi uwezo wa kumtunza hana maana alipokuwa anakaa nae alikuwa anamtumia kama SACCOS ya hela ya matunzo ikitumwa na yeye anaipiga panga lakini na wakati huo huo pamoja na kwamba amemwachia kwenda kwa baba yake bado anataka mtoto awe anamkumbuka na ndio chanzo cha yote anahisi kama akikaa kwa upendo huko kwa babae atasahaulika si unajua malezi ya upande mmoja yalivyo)Maana yangu ni kuwa akienda boarding angalau huyu dada atapumzika kiasi fulani. Kukaana mtoto wa aina hiyo 24:7 inachochosha, na inapoteza malovre ndani ya nyumba. Kule shule atajichanganya na wenzake, kwanza atakua kiakili. Ilishanitokea mimi na ikafanya kazi. Pia msimamo wa baba ndio unaweza kujenga au kubomoa nyumba