bikira mzee
Member
- Apr 21, 2014
- 45
- 6
Pole wakati mwingine kulea mtoto si wa kambo tu hata wa ndugu ambae kwa namna moja ama nyingine labda mzazi wake ana hali ngumu huwa ni kazi, kuna wa mama wengine huwajenga watoto katika pozi la kumchukia mama wa kambo mpaka baba na ndio maana wakati mwingine ni vyema kama tatizo limetokea mwanaume umezaa nje ukamchukua mtoto mapema na kukaa nae kwako pia na mnakaa na huyo mliezaa nae na kuweka mkakati wa pamoja wa nini mtoto hapaswi kuambiwa lakini kila mtu akichukulia hasira matokeo yake ndio hayo akienda kwa mama analishwa sumu akija kwako ukimkanya kidogo itaonekana kwa kuwa sio mwanao. Hapo huyo mumeo anatakiwa aongee na mzazi mwenzake na kumweleza kila kitu kinachotokea pia amwombe ampe maneno mazuri ya busara huyo mtoto ili muweze kukaa nae vizuri lakini hata mfanye nini kama mama yake mcharuko mtaendelea kupata shida.mimi ni binti nilichelewa kidogo kuolewa nilipoolewa nilimkuta mume wangu na mtoto wa miaka saba,ambe bado alikua anaishi kwa mama yake alioolewa na mtu mwingine.baada yakufunga ndoa tu tulifanya taratibu zakumchukua kwa mama yake aliekua akihudumiwa yeye na mtoto toka mimba.chakushangaza mtoto tulilupa nursery ya english medium lakini tulikuja kugundua hasomi huko tunapolipa fedha anasoma shule ya hapo hapo mtaani kwao.toka kuzaliwa mumewangu alikua akinyimwa kumuona mtoto mara kwa mara licha ya kumuhudumia.siku waliotupa mtoto walitupa akiwa uchi na mwenye afya duni.nimejitahd kama mama kurekebisha afya ya mtoto nakumuombea kwa Mungu .hasalimii mtu akisema sijawazoea.anazungumza maneno magum kiasi kwamba nakufa moyo wakumpenda nimemchapa ilipobidi sijawahi kumuonea.amekua akienda kwa mama yake kusalimia naakirudi anarudi na mambo ya ajabu kuliko mwanzo,nampenda mume wangu namhurumia kwani anaumia sana juu ya jambo la mtoto .mama mtoto hajawahi hata nipigia simu hatakunisalimia wala hatakujua mtoto analala wapi na anaishije.nifanyaje wanajamii sitakikufanya roho mbaya japo naumia
Sorry nadandia gari kwa mbeleMumeo ndo wa kuchukua hatua hapa!
Mimi ni binti nilichelewa kidogo kuolewa nilipoolewa nilimkuta mume wangu na mtoto wa miaka saba,ambe bado alikua anaishi kwa mama yake alioolewa na mtu mwingine.baada yakufunga ndoa tu tulifanya taratibu zakumchukua kwa mama yake aliekua akihudumiwa yeye na mtoto toka mimba.
Chakushangaza mtoto tulilupa nursery ya english medium lakini tulikuja kugundua hasomi huko tunapolipa fedha anasoma shule ya hapo hapo mtaani kwao.toka kuzaliwa mumewangu alikua akinyimwa kumuona mtoto mara kwa mara licha ya kumuhudumia.siku waliotupa mtoto walitupa akiwa uchi na mwenye afya duni.
Nimejitahidi kama mama kurekebisha afya ya mtoto nakumuombea kwa Mungu .
Hasalimii mtu akisema sijawazoea.anazungumza maneno magum kiasi kwamba nakufa moyo wakumpenda nimemchapa ilipobidi sijawahi kumuonea.
Amekua akienda kwa mama yake kusalimia naakirudi anarudi na mambo ya ajabu kuliko mwanzo,nampenda mume wangu namhurumia kwani anaumia sana juu ya jambo la mtoto .
Mama mtoto hajawahi hata nipigia simu hatakunisalimia wala hatakujua mtoto analala wapi na anaishije.nifanyaje wanajamii sitakikufanya roho mbaya japo naumia
Boarding ni suruhisho la muda mkuu maana likizo lazima arudi na kulianzisha upya yaani kama vile mtu yupo kwenye matatizo makubwa alafu anajipoza na pombe alafu baadae ikitoka kichwani mambo ni yaleyale, kazi kubwa inachotakiwa ni kumjenga aweze kujitambua na aelewe kwamba hayo ndio aina ya maisha anapaswa kuishi kutokana na mzazi mwingine kuwa ameolewa na mwingine ameoa mke mwingine. Baada ya zoezi hilo kueleweka ndipo suala la boarding lifuate huku akirudi likizo anakwenda kwa mama yake siku kadhaa na kwa baba yake siku kadhaa then likizo ikiisha anakwenda shule. Hapo huyo mama yake mzazi ndio ndio kikwazo kama ni project mlengwa wa kwanza ni mama mzazi wa mtoto (anatakiwa abadilike) alafu then mtoto maana watoto hata watu wazima tu huwasikiliza sana mama zaoMpelekeni boarding atabadilika
Boarding ni suruhisho la muda mkuu maana likizo lazima arudi na kulianzisha upya yaani kama vile mtu yupo kwenye matatizo makubwa alafu anajipoza na pombe alafu baadae ikitoka kichwani mambo ni yaleyale, kazi kubwa inachotakiwa ni kumjenga aweze kujitambua na aelewe kwamba hayo ndio aina ya maisha anapaswa kuishi kutokana na mzazi mwingine kuwa ameolewa na mwingine ameoa mke mwingine. Baada ya zoezi hilo kueleweka ndipo suala la boarding lifuate huku akirudi likizo anakwenda kwa mama yake siku kadhaa na kwa baba yake siku kadhaa then likizo ikiisha anakwenda shule. Hapo huyo mama yake mzazi ndio ndio kikwazo kama ni project mlengwa wa kwanza ni mama mzazi wa mtoto (anatakiwa abadilike) alafu then mtoto maana watoto hata watu wazima tu huwasikiliza sana mama zao
Hapa mabazazi wanatakiwa
watoe ushauri aisee ,mnawatesa watoto za watu mkija kuoa na haao watoto
wenu wa outdoors