Haujaelewa kilichoandikwa? alikamatwa akiingia Niger sio US au France!Utamsikia kakimbilia US, France, UK, Germany, Canada au Sweden kuomba hifadhi. Hutomsikia kaenda Saudia au Iran; never. Anyway, pole zake Dr. Saif ila atambue huu ni utawala mwingine sio wa baba yake.
Endelea kuota baada ya kuachiwa ataelekea ukimbizini Niger! Hiyo ilikuwa tu njia ya kutoroka Libya baada ya maeneo mengine vikiwemo viwanja vya ndege kuwa chini ya adui.Haujaelewa kilichoandikwa? alikamatwa akiingia Niger sio US au France!
Akili ya ndezi ataelewa nini Kiongozi?Ww ndio hujamwelewa Dudus.
Haujui unachokiandika, unajua wana familia wengine wa Ghadafi wako wapi?Endelea kuota baada ya kuachiwa ataelekea ukimbizini Niger! Hiyo ilikuwa tu njia ya kutoroka Libya baada ya maeneo mengine vikiwemo viwanja vya ndege kuwa chini ya adui.
Utamsikia kakimbilia US, France, UK, Germany, Canada au Sweden kuomba hifadhi. Hutomsikia kaenda Saudia au Iran; never. Anyway, pole zake Dr. Saif ila atambue huu ni utawala mwingine sio wa baba yake.
Just ni politicsHaujui unachokiandika, unajua wana familia wengine wa Ghadafi wako wapi?
wewe ndio hujaelewa alichokiandika ,Haujaelewa kilichoandikwa? alikamatwa akiingia Niger sio US au France!
Nimemuelewa na hadi katikati ya mstari lakin amebugi nikuulize wewe uliyemuelewa, Familia iliyobaki ya Ghadafi inaishi wapi?wewe ndio hujaelewa alichokiandika ,
wapi kasema alikuwa anaingia france au US
sijui iko wapi wewe ulipo bugi nikumlisha maneno kwamba alikamatwa niger na sio france wala Us Anakodai mtoa postNimemuelewa na hadi katikati ya mstari lakin amebugi nikuulize wewe uliyemuelewa, Familia iliyobaki ya Ghadafi inaishi wapi?
udini unakutafuna,japo utajifanya kukana,anyway..acha aende tu hukohuko kwa walioharibu nchi yaoUtamsikia kakimbilia US, France, UK, Germany, Canada au Sweden kuomba hifadhi. Hutomsikia kaenda Saudia au Iran; never. Anyway, pole zake Dr. Saif ila atambue huu ni utawala mwingine sio wa baba yake.
Sijamlisha maneno punguza ukilaza nilimaanisha kama anaenda ulaya kwa nn alikua anakimbilia Niger badala ya kuruka tu directsijui iko wapi wewe ulipo bugi nikumlisha maneno kwamba alikamatwa niger na sio france wala Us Anakodai mtoa post
Nisamehe kipanga mimi kweli kilazaSijamlisha maneno punguza ukilaza nilimaanisha kama anaenda ulaya kwa nn alikua anakimbilia Niger badala ya kuruka tu direct