Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

hakika !
 
Mimi ningeaga mapema sana tena ningewaambia ukweli tu
 
Hold on , Hold on , Hold there , repeat that script ......
 
Ni story ila haya maisha yapo kwa watoto wengi sana miaka hii,
Ninae jirani yangu ndivyo anavyolea hivyo watoto wake, kitoto kinaitwa 'boy' sio junya, yani hicho kitoto kinapanda madirisha hadi juu kabisa halafu kinaruka kwenye kochi, kwa kuona hivyo mama yake akamuwekea godoro sebuleni ili akiruka asiumie,🤯🤯
Siku moja kalikuja kwangu kakiwa na mama yake na kokoto kwenye roll lake la kuchezea bhana bhana mama yake akakaambia kokoto kapeleke nje kakakasirika kakaanza kurusha zile kokoto ovyo ovyo....nikasema nini hiki nilimlamba makofi 2 kwenye matako pale pale waliaga na mamtu hakupenda nilimuona mthenge tu, siku nyingine kakarudi kakiwa na maid wao, kucheck katuni YouTube, kalivyoanza makeke tu nikakapa vifinyo 2 vya kupenya, mpaka kesho boy akija kwangu anatulia km sio yeye,
 
Safii we ndo mzazi Sasa hakuna kulea ujingaa!
 
Mie watoto km hao huwa napiga konzi la ki JAY MO( KIMYA KIMYA) namsugua kwenzi kisha macho yangu kuna namna nikiyaweka nyumbani kwangu si watoto wala mke wngu wanajua hapa IRAN imekasirika.
Sipendi ujinga, mtoto halelewi kama yai, unamfirahisha ila akikosea unamuonya, kosa kubwa sana hata kakibao ka uwongo na kweli ili ajue ile si sawa, unataka ulee mtoto kama PUMBU.
 
mimi mikisema mnasema nina roho mbaya, yani ni nakoz tu🤨
sawa Seran, pata mume kama huyu sasa 👇 uje kuleta uzi apa unaulizia bei ya meno bandia 😜
 

Attachments

  • 1779895658345.mp4
    2 MB
Dah hadi mkeo mwanetu ?
Kama umeoa dada zetu wa Dar nakushukuru endelea kumnyoosha mpaka akome tabia za kitoto
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…