Siku moja nunda alikuwa anelekea chooni kwa bahati mbaya au nzui baba yake alikuwa anatoka huko huko chooni kuwoga ,na kajifunga shuka nyepesi ambayo ikionyesha kila kitu ,Nunda akatazama chini akimuangalia baba yake
Nunda ,akashindwa kuvumilia akamuuliza baba nini hayo yanayoning'inia katikati ya miguu ?
Dah Baba mtu akajikaza akamwambia hii mishipa yangu tu na wewe utakuwa nayo kama hii karibuni ukiwa mkubwah !
Siku iliyofuata Nunda akiwa shule darasani akashikwa na haja ndogo ,akanyanyua mkono kuashiria anakitu anataka kuuliza mwalimu wake ambae ni wa kike ,
Akamuuliza unataka kusema nini ,?
Nunda akajibu nataka kwenda chooni nimeshikwa na haja ndogo !
Mwalimu wa kike akasema subiri kidogo yupo mwenzako !
Nunda mkojo umemshika ile mbaya akashindwa kusubiri kuna kadustbin pembeni ya darasa akelekea na kuanza kukojoa bila ya shida.
Mwalimu kuona Nunda anafanya haja ndogo mbele ya darasa ,akamtolea ukali .
We Nunda huna adabu mshipa wako mbaya sana ukiamua jambo !
Nunda akajibu ,ah huu si lolote si chochote ukiuwona wa babaangu :becky: