mtoto ambaye humfuti mavi,humwogeshi ,utamtuma dukani hahahah beba mama tena mlee kwa upole na ustaarabu atakuja kukufaa kuliko hao uliokunya mwenyeweHbr wana JF.
Upo na mumeo au mkeo kwa zaidi ya miaka 10 mkiishi kwa amani na furaha na mmebarikiwa kupata watoto 2. Siku mmeo/mkeo anakwambia ooh! Blaa blaaa blaaa unajua nilikuwaga na mtoto kabla hatujaoana sasa moyo unaniuma kuweka siri hii leo nimeona nikwambie. Kama ni wewe unafanyaje na kweli ukifwatilia unajua yupo na ni mkubwa kulingana na mlipofunga ndoa na kuna baadhi ya ndugu zake wanajua hili.
Ushauri jamani kama ni wewe unafanyaje?
Jina lako mwenyewe Mthihani solve sasa kamtihani kadogo hakoKulea mtoto si shida, tatizo ni kwanini siri muda wote huoo? Na nilipojaribu kuuliza nikagundua kwamba ni watu waliokuwa wakiwasiliana muda wote huo na isitoshe alijaribu mbinu za kumtenganisha na mimi huyo mzazi mwenzake hadi yeye alipopata mpenzi mwingine na kwenda mbali ya nchi, ndo akaamua kusema. Kwanini asiseme mwanzoni kama tatizo ni kumlea tu. Kwa ufupi ni watu waliokuwa na mahusiano muda wote huo hadi yeye kwenda mbali.
Hbr wana JF. Upo na mumeo au mkeo kwa zaidi ya miaka 10 mkiishi kwa amani na furaha na mmebarikiwa kupata watoto 2. Siku mmeo/mkeo anakwambia ooh! Blaa blaaa blaaa unajua nilikuwaga na mtoto kabla hatujaoana sasa moyo unaniuma kuweka siri hii leo nimeona nikwambie. Kama ni wewe unafanyaje na kweli ukifwatilia unajua yupo na ni mkubwa kulingana na mlipofunga ndoa na kuna baadhi ya ndugu zake wanajua hili. Ushauri jamani kama ni wewe unafanyaje?
Hbr wana JF.
Upo na mumeo au mkeo kwa zaidi ya miaka 10 mkiishi kwa amani na furaha na mmebarikiwa kupata watoto 2. Siku mmeo/mkeo anakwambia ooh! Blaa blaaa blaaa unajua nilikuwaga na mtoto kabla hatujaoana sasa moyo unaniuma kuweka siri hii leo nimeona nikwambie.
mtoto ambaye humfuti mavi,humwogeshi ,utamtuma dukani hahahah beba mama tena mlee kwa upole na ustaarabu atakuja kukufaa kuliko hao uliokunya mwenyewe
Kulea mtoto si shida, tatizo ni kwanini siri muda wote huoo? Na nilipojaribu kuuliza nikagundua kwamba ni watu waliokuwa wakiwasiliana muda wote huo na isitoshe alijaribu mbinu za kumtenganisha na mimi huyo mzazi mwenzake hadi yeye alipopata mpenzi mwingine na kwenda mbali ya nchi, ndo akaamua kusema. Kwanini asiseme mwanzoni kama tatizo ni kumlea tu. Kwa ufupi ni watu waliokuwa na mahusiano muda wote huo hadi yeye kwenda mbali.
wanakuambia if cant convice them confusewe dada una maneno makali