Mtoto ndo huyo kapatikana

Polen kwa usumbufu na hongereni kwa kumpata[emoji68] [emoji68] [emoji68] [emoji68] [emoji68]
 
Mbona nasikia ndani ya gani kulikuwa na simu hivyo jamaa wanarusha picha za mtoto na kudai kapatikana? Au kapatikana kweli?
 
What about the car, au ndo limeshatokomea
 
Wekeni taarifa kamili jamani, JF inahadhi kubwa sana si ya kureport mambo kwa namna hii, wekeni mambo wazi, kwamba baada ya juhudi hizi na zile, tumefanikiwa kumpata mtoto ktk mazingira haya, na hali yake iko hivi na vile, bado tunaendelea kufatilia gari ama kitu gani sijui, sio mbaya mkasema mmefanikiwa hayo kwa msaada wa ima Polisi au Raia mwema.

Vile vile taarifa zenu ziwe zina baraka ya Kamanda wa Polisi ktk eneo lenu au mtu yeyote wa serikali ili ziwe na nguvu kwetu. Maana nimeona hapo wengine wanasema picha zinatumwa na wahalifu.
Tunashindwa kuelewa kipi ni kipi...
 
Hizi habari za kikanjanja thus why hakuna maelezo yeyote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…