Hiyo itakuwa ilitokea miaka ya sabini mwanzoni. Enzi hizo ukidondosha pesa mtu anaokota na kukuita uchukue hela yako.
Siku hizi toto linashushwa na kufaulishwa kwenye bus linaloelekea moro/ dar... Jamaa wanaambiwa,
"tunaomba mtushushie moro huyu dogo tumempitiliza". Kama dogo IQ yake mdondo asishtukie anavyouzwa,itakuwa imekula kwake vibaya!