Mtoto mdogo miezi 8 ana shida ya vinyama puani na kooni

Mtoto mdogo miezi 8 ana shida ya vinyama puani na kooni

Nangose 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,201
Reaction score
6,777
Wakuu, dogo wangu anachangamoto ya vinyama puani na kooni hali inayopelekea kupumua kwa Shida sana..
Ipi ni tiba sahihi ya hii Shida..?

🙏
 
Nenda hospitali kubwa ingawa mara nyingi wanashauri akue kidogo ndio afanyiwe OP
Ni sahihi, Jana tulikuw Hospital ya Rufaa hapa wametuambia hadi afikishe mwaka Mmoja ndio anaweza kufanyiwa surgery..
Ina hivi vinyama vinaingilia sana upumuajinwa mtoto hasa nyakati za usiku na anapokuwa ananyonya
 
Badilisha diet yake kama unaweza , ondoa mafuta ya kupikia na sukari. Kama unaweza fanya kumpa supu ya nyama na nyama ya kusaga,mayai ya kuchemsha(kienyeji) tu hata kwa siku 30.

Mafuta ya kupaka atumie Vaseline tu,sabuni tumia ya mche kumuogeshea. Ndani ya wiki 1 tu utaleta mrejesho changa hapa.
Hiyo diet ni dawa nzuri sana.
 
Back
Top Bottom