Mtoto mdogo Kunyonya sana

da viper

Senior Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
158
Reaction score
43
Je ni kawaida mtoto akiwa anataka kunyonya kila wakati? Mwanangu ana mwezi mmoja tu lakini kasi yake ya kunyonya kila mara inatisha,je hii ni sahihi?
Alafu kulala kwake ni mara chache mno
Uzuri ni kuwa ana afya njema na mchangamfu utadhani ni wa miez mitatu
 
Kawaida
 
Hili ndo swali la muhimu kama maziwa yapo mpe hata kila baada ya dak 5[emoji23][emoji23][emoji23] Shida kama maziwa hakuna aiseee... Lactogen zinatoa jasho sanaaa
Wasiwasi wangu ni kama mama hana maziwa ya kutosha basi mtoto hashibi vizuri, kama yamo ni mtoto kujipimia atakavyo!
 
Wasiwasi wangu ni kama mama hana maziwa ya kutosha basi mtoto hashibi vizuri, kama yamo ni mtoto kujipimia atakavyo!
Ukiona mtoto anataka nyonyo na analia jua ana njaaa...!! Watoto wadogo wanalia kama Wamejichafua kukojoa au kujisaidia,wakiwa na njaa,kukiwa na joto na wakiwa na usingizi. Wengine tumbo la utoto lile likijaa gas wanalia sana. So kama mkimpa nyonyo ananyamaza jua ni njaa
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…