Mtoto Linah mashalah

sasa hii ndio sura/ngozi yake halisi..nilichogundua ni kuwa walavumbi wote zile sio ngozi/rangi zao halisi. believe me or not

Heheheheee ngoja wenyewe waamke....wamelala saa hizi ujue
 
look at those lips,babe face
 
Ana sura tamu, ila macho angeweka visine angala drops mbili.
 
Hivi ana umri gani huyu binti?
kaka box limekulemaza ubongo? mwanamke haulizwagi umri siku hizi ati.wewe kula kwa macho ukiona vipi funguka.you have all our bless!
 
Ana sura tamu, ila macho angeweka visine angala drops mbili.
Kobello huyu si ndio kaja juzi juzi tu alikuwa anapuliza moto wa kuni huko kwa wala vumbi...ila lazima watampa huu ushauri yang'aeng'ae angalau
 
Kobello huyu si ndio kaja juzi juzi tu alikuwa anapuliza moto wa kuni huko kwa wala vumbi...ila lazima watampa huu ushauri yang'aeng'ae angalau
Itabidi nisogee Kisarawe (DC), nikamuuzie beats. Au bongo movie huyu dada?
 
Ni kiti kilikuwa na vumbi ama ni macho yangu yanapoteza nuru siku izi?
 
suraaa hanaa ilaaa hapooo katikatiii mashalaaaaaaaaaaaaa.............amini wee huna lako tenaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…