niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,681
- 5,502
Huyu anahitaji kuelimishwa sana, bado anaamini mambo ya kizamani na hana elimu ya kumsaidiaHabari zenu wakuu.
Mke wangu ana ujauzito wa miezi 7. Juzi tulikwenda kufanya manunuzi ya vitu kama vile vitenge,kanga na baadhi ya vyombo lakini yote ni maandalizi ya kumpokea kijacho.
Tupo kwenye duka la vitenge na kanga wife wakati anachagua alichagua baadhi ya vitenge na kanga zenye rangi ya njano. Muuzaji alikua ni mama mtu mzima(age go) alimwambia wife kua hata mimi ni mama sikushauri mwanangu uchukue hizi nguo zenye rangi ya njano maana utaleta manjano kwa mtoto.
Nilishtuka nikamuuliza mama je hata matunda kama embe nayo yanarangi inayofanana na njano, akasema maembe asile kwa kipindi hiki.
Hapa naomba ushauri na udhoefu wenu juu ya manjano hasa kwenye nguo za njano wakati mama anajifungua na ulaji wa maembe. Maana wife alikua anakula sana maembe ila ameacha juzi baada ya kupewa darasa na huyo mama wa vitenge.
Kweli mkuuHuyu anahitaji kuelimishwa sana, bado anaamini mambo ya kizamani na hana elimu ya kumsaidia
Ni kweli mkuu. Wife alimueleza mama yake kua nimeambiwa hivi kuhusu nguo za rangi ya njano na ulaji wa maembe. Mama mkwe alimjibu kua ndio asinunue wala kuvaa nguo yenye rangi ya njano akiwa anaenda kujifungua. Yeye( mama mkwe) enzi zake alikwenda kujifungua hospitali ya rufaa akiwa amevaa nguo zenye rangi ya njano, wauguzi walimfokea sana na kumuonya.Huyu anahitaji kuelimishwa sana, bado anaamini mambo ya kizamani na hana elimu ya kumsaidia
Mkuu asante.Daaa!hapo hakuna connection kabisa TABOOS Manjano kwa mtoto(Neonate Jaundice)husababishwa na vitu vingine ila sio nguo.
mwache mama ajinunulie wax zake za njano kwa amani kabsa
Mkuu hili nimelichukua.Maembe yaliyoiva kwa wamama wengine yanakata maziwa
Hapa nyumbani alikua anakula sana mayai ya bata. Nikaambiwa akila mayai au uji wa lishe mtoto tumboni atakua mkubwa hivyo njia itakua ndogo na atajifungua kwa operation.Wala Maembe hayahusiana hapo ni sawa na mama mjamzito akila Mayai mtoto atapata kipara kumbe ni ili wale wao,Waache kumtisha Mama kwa maelezo zaidi awaone watumishi Wa afya wampe Elimu.
Duh kumbe hizi Imani bado zina exist? Hatari sana
Baada ya kuambiwa hivyo huko kwenye vitenge, nilirudi mtaani kupata maoni kwa akina mama watu wazima lakini nao walisema nguo za njano na maembe sio mazuri. Kwahiyo hizi imani zipo sana mkuu. Hapo mtaani kwako jaribu kufuatilia unaweza kuyakuta haya.Imani potofu
Nitatii mkuu.Pyeeeeeeeee
Hakuna lolote
Acheni imani haba
Sawa mkuu lakini walio niambia hivyo ni akina mama ambao wengine wana watoto 5.Pata ushauri kwa madaktari, achana na waganga wa kienyeji
asante sana mkuu.Mtoto kuzaliwa wa njano inatokana na 'jaundice'. Na wala sio imani hizo.
On the other hand goldfish huwa wanadumisha rangi yao ya orange kwa kulishwa carrot as part of menu yao.
We are not goldfish.