Mtoto akiwa mnene anachelewa kidogo kutambaa na kutembea na wengine huwa wanaruka kabisa stage ya kutambaa, ila inatakiwa akiwa na kuanzia miezi 11 na kuendelea kwa wa kiume, awe anasimamia vitu na kusimama dede, ni normal kabisa! Punguzeni kujamiiana na hata pale mnaposhikwa sana, mwanaume anatakiwa afanye ile kitu inaitwa coitus interruptus, yaani akikaribia ejaculation anachomoa na kumalizia nje! Malezi yana changamoto sana!