Mtoto kunyonya vidole vyake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto kunyonya vidole vyake

Discussion in 'JF Doctor' started by Kichwa Ngumu, Apr 3, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hi wana JF,
  nina mtoto wa miezi mitatu bado hajaota meno ila wiki mbili zilizo pita ameanza tabia ya kunyonya vidole vyake sijajua kama ni meno yanataka kumuota sasa yanawasha au ni nini? pia kuna baadhi ya watu wameniambia mtoto akinyonya vidole meno yakiota yatatoka nje hivyo yataharibu shape ya reception ukizingatia mtoto mwenyewe wa kike.
  JF members ushauri please
   
 2. BLISS

  BLISS Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana,

  hizo dalili kwa kawaida huwapata watoto wadogo, na kitabibu tunaambiwa mtoto anaanza kunyonya kidole tangu akiwa na miezi 7 akiwa tumboni, hivyo usiogope ni hali ya kawaida kwa mtoto pia kama hupendi anyonye vidole unaweza pia ukamnunulia baby sweeter ili asiwe ananyonya vidole,

  kuhusu kuwasha kwa fizi pia inawezekana ingawa inaweze isiwe zinawasha ila ni hali yakawaida ya mtoto kunyonya vidole vyake, na wala haina uhusiano wa kuharibu kuota kwa meno ya mtoto, ni maneno tu ya mitaani kwa wakina mama...
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hakuna kitu kama hicho mpendwa mwache anyonye vidole vyake.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  Hilo la mtoto kunyonya kidole na kuharibu meno yake ni kweli kabisa, lakini kwa sasa mtoto wako ni mchanga mno kuanza kuwa na wasiwasi wa hilo. Ila unaweza kujaribu kumuondoa kidole hicho kila anapokinyonya ili asijenge uzoefu wa kufanya hivyo katika siku za usoni.
   
 5. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Asante
   
 6. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Baada ya muda gani?
   
 7. L

  Leornado JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mtafutie pacifier itamsaidia kuacha kunyonya vidole, ila mzingatie usafi la sivyo mtoto ataharisha kama hiyi pacifier haitakuwa kwenye usafi.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Wamekudanganya.
  Kuna mdogo wangu wa kike alikuwa ananyonya vidole hadi yupo sekondari.
  Sahv yupo chuo akiwa chuo akinyonya vidole wenzie wanamtania kwahiyo anaacha ila akirudi nyumbani kazi ile ile.
  Reception yake haijaharibika, tena ni mrembo kuliko mimi dada yake.
  Huyo mwanao akinyonya uwe unamtoa ingawa huyu mdogo wangu tulikuwa tunamtoa tangu mtoto ikafikia kipindi tukachoka maana alikuwa hana dalili za kuacha.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  kuna watoto ushaona wameharibika meno?
   
 10. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  si kuhasibika inasemekana meno ya juu hasa ya mlangoni hutoka nje kama ngiri
   
 11. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  kawida tu ndugu yangu, inaonekana huo ni uzazi wako wa kwanza.
   
 12. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Mtoa maada mimi pia pamoja na ndugu zangu kama 4 ni wahathirika wa kunyonya vidole. Do whatever you can to stop your kid. Meno hayawezi kukutana kama mtu ananyonya kidole. Yaani mimi nikikuangalia naweza kukwambia ulikuwa unanyonya kidole utotoni. Dada yangu imembidi atumie ela nyingi sana kutengeneza meno yake ya mbele kwani yeye alikuwa ananyonya kidole gumba hivyo meno yake yalianza kulegea alipofika 35 year (kidole gumba kina madhara zaidi).

  Mwanagu nae alianza kunyonya kidole, kila tukienda clinic manesi wananisema kuwa itanigharimu kutengeneza meno yake akikua. Tukafanya mkakati na mume wangu tukamfunga plaster akiwa na mwaka mmoja. It worked kwani alikuwa hana akili ya kujifungua. Ukisubili akawa na akili hatahacha kamwe. Mimi wazazi walianza kunifunga plaster nikiwa na akili. Wakifunga kidole hiki nahamia kingine mpaka walichoka. Now I am blaming them they should have stopped me while I was real young. Wazazi wengi wanahacha watoto wanyonye vidole kwa sababu wanasema mtoto anaenyonya kidole alii ovyo. I am telling you do whatever you can to stop your kid.
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa wewe jaribu kuuliza mtu ambae meno yake hayakutani kama alinyonya kidole utotoni. Na kingine atakuwa anataniwa na wenzake, ingwawa mimi nilikuwa don't care fulani na nilikuwa naendelea kuwaburuza watu darasani. Ila watoto wengine wakiwa bulled wanakuwa wajinga na wanakosa confidence

   
 14. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  kama ukipaka pilipili kwenye kidole inakuaje?
   
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Usimpake mtoto pili pili huo ni ukatili dhidi ya mtoto. Kama ni one year or below plaster inatosha. Nunu za kutosha ili umbadili mara kwa mara kwani zinachafuka. In a week atakuwa amesahau
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280

  Naam hata Madentist wanalisema hili na kuwaomba Wazazi/Walezi wajaribu kulizuia hili la kunyonya kidole.
   
 17. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Nimejifunza kupitia post yako,mimi nilijua hakuna madhara maana mimi nilinyonya mpaka niko form 6 na dental formula yangu iko poa tu.
   
 18. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kama nitamvalisha socks mikononi itasaidia
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  Mhhh! sijui lakini hakuna ubaya kujaribu.
   
 20. kure11

  kure11 Senior Member

  #20
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kutujuza ,sikuwa najua kama kuna madhara.nimejifunza jema hapa.
   
Loading...