Umemsoma vizuri lkn, mbona kataja umri wa mtoto....Mpeleke haraka hospital na kama upo Dar nenda pale recency hospital ukamuone bingwa wa mifupa.....
Mtoto wako ana umri gani?
Ananyonya vizuri mkuu..hapo kwenye mechi za ugenini sijakupata vizuri. Maelezo ya ziada tafadhariPole sana mkuu! Ananyonya sawasawa? Pia kuweni makini na mechi za ugenini wakati wa malezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu! Ananyonya sawasawa? Pia kuweni makini na mechi za ugenini wakati wa malezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo ya ziada tafadhari. Kumbemenda mtoto ndo inakuaje?Mkuu " hamsalitiani kweli !!? Namaanisha Hakuna anayetoka nje ya mahusiano yenu " angalieni msije kum-bemenda mtoto tu...
tafadhali fuata ushauri wa wenzangu waliotangulia ku- comment hapo juu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiko kitu Hamna .. Ni lishe mgogoro tuu. Aende hospital atapata majibuMkuu " hamsalitiani kweli !!? Namaanisha Hakuna anayetoka nje ya mahusiano yenu " angalieni msije kum-bemenda mtoto tu...
tafadhali fuata ushauri wa wenzangu waliotangulia ku- comment hapo juu .
Sent using Jamii Forums mobile app
HV ulizaa mfululizo whymm hizo niliwah muuliza Dk Akaniambia ni maneno tu..enzi zile walikua wakitishwa hvyo ilo mtu asichepuke..hakuna uhusiano kbs na hayo mambo mkuu..kuna wale wanaofiwa na waume zao akiwa na mimba then akaolewa kwingine hao nao utasemaje?..usaarabu tu ni mtu usitoke toke nje ya mahusiano yako
.na ht ile ya kupata mimba sijui mtoto akanyonya maziwa yako nayo ni stereotype tu..nilipata mimba mm mwanangu bado mdg ananyonya..nilikua nalia tu nikaenda kwa dk akaishia kunicheka..akasema nyonyesha mtoto had mimba ya 7mths ndo umwachishe.kazana kula fresh..jaman mwanangu kila mtu alikua anataman kumbeba..hakutetereka ht kdg..na mm sikuchoka..kimbèmbe nilipojifungua..ikabidi wapige dabo dabo!
Hiko kitu Hamna .. Ni lishe mgogoro tuu. Aende hospital atapata majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la mimba na kunyonyesha wala sipingani nawe, ila hilo la kuendekeza mechi wakati mtoto mdogo huwa linapunguza virutubisho na uzalishaji wa maziwa. Production inahamia kule unakokutumia sana so mtoto lazima atadhoofu, hawa madaktari huwa wanakataa lakini kwakua hakuna maandiko ya kitaalamu yanaeleza ila kiuhalisia wao wanatambua na wanaviepuka vitu hivi kwenye malezi ya watoto wao. Muulize daktari kuhusu suala la meno bandia(ya plastiki) kwa baadhi ya watoto watoto atakataa kabisa lakn wakt huo wake wameng'olewa, muulize kuhusu baadhi ya watoto kukatwa vimeo(vidaka tonge) atapinga kabisa lakn wake wamekatwa wakiwa bado wadogo, so akili kichwani mwako.mm hizo niliwah muuliza Dk Akaniambia ni maneno tu..enzi zile walikua wakitishwa hvyo ilo mtu asichepuke..hakuna uhusiano kbs na hayo mambo mkuu..kuna wale wanaofiwa na waume zao akiwa na mimba then akaolewa kwingine hao nao utasemaje?..usaarabu tu ni mtu usitoke toke nje ya mahusiano yako
.na ht ile ya kupata mimba sijui mtoto akanyonya maziwa yako nayo ni stereotype tu..nilipata mimba mm mwanangu bado mdg ananyonya..nilikua nalia tu nikaenda kwa dk akaishia kunicheka..akasema nyonyesha mtoto had mimba ya 7mths ndo umwachishe.kazana kula fresh..jaman mwanangu kila mtu alikua anataman kumbeba..hakutetereka ht kdg..na mm sikuchoka..kimbèmbe nilipojifungua..ikabidi wapige dabo dabo!
Pole kwa malezi dada, ila ulitakiwa huyo wa kwanza alipofikisha 1yr umwachishe kunyonya ili na mwenzake aweze kupata kunyonya vzr pia kulinda afya yako. Hao wanaoshangaa hata huku kwetu wapo na hapo hapo ukute wana watoto wamewapanga, kila mtu na malengo yake wengn wamechelewa kuzaa sababu ya masomo, changamoto za uzazi nk so wanaona bora waunge then wapumzike, wengn wanataka walee mapema then waanze mambo mengine. Hakuna principal hapo,wasikaririmm hizo niliwah muuliza Dk Akaniambia ni maneno tu..enzi zile walikua wakitishwa hvyo ilo mtu asichepuke..hakuna uhusiano kbs na hayo mambo mkuu..kuna wale wanaofiwa na waume zao akiwa na mimba then akaolewa kwingine hao nao utasemaje?..usaarabu tu ni mtu usitoke toke nje ya mahusiano yako
.na ht ile ya kupata mimba sijui mtoto akanyonya maziwa yako nayo ni stereotype tu..nilipata mimba mm mwanangu bado mdg ananyonya..nilikua nalia tu nikaenda kwa dk akaishia kunicheka..akasema nyonyesha mtoto had mimba ya 7mths ndo umwachishe.kazana kula fresh..jaman mwanangu kila mtu alikua anataman kumbeba..hakutetereka ht kdg..na mm sikuchoka..kimbèmbe nilipojifungua..ikabidi wapige dabo dabo!
Hilo la mimba na kunyonyesha wala sipingani nawe, ila hilo la kuendekeza mechi wakati mtoto mdogo huwa linapunguza virutubisho na uzalishaji wa maziwa. Production inahamia kule unakokutumia sana so mtoto lazima atadhoofu, hawa madaktari huwa wanakataa lakini kwakua hakuna maandiko ya kitaalamu yanaeleza ila kiuhalisia wao wanatambua na wanaviepuka vitu hivi kwenye malezi ya watoto wao. Muulize daktari kuhusu suala la meno bandia(ya plastiki) kwa baadhi ya watoto watoto atakataa kabisa lakn wakt huo wake wameng'olewa, muulize kuhusu baadhi ya watoto kukatwa vimeo(vidaka tonge) atapinga kabisa lakn wake wamekatwa wakiwa bado wadogo, so akili kichwani mwako.
Sent using Jamii Forums mobile app