anhaaMalaika huyo ubongo unajiunda vizuri
oh, safiAnaona malaika anacheza na yeye mtoto Hana dhambi, anaona Kama muvi mbele yake na michezo mingi wakicheza nae
ebo, sasa ndo achekee?!!!!😀😀😀😀😀Wataalamu wa zamani wanasema anaota baba yake amefariki[emoji28][emoji28]
hahaha akiota analia ujue mama yake kafariki me pia niliambiwa hivoWataalamu wa zamani wanasema anaota baba yake amefariki[emoji28][emoji28]
du, yote hiyo katika kuongeza uzito kwa mama....kuwa ni muhimu zaidi ya baba (kina mama wana hatari hawa)hahaha akiota analia ujue mama yake kafariki me pia niliambiwa hivo
ahsante sana mkuu!Ni jambo jema afya ya akili na kinga za kiroho viko perfect ...vibaya ni kulia....kifamilia tunasema jina alilopewa limemkubali
Wao sijui waliambiwa nanani ilihali mtoto huwa hasemi mmh.hahaha akiota analia ujue mama yake kafariki me pia niliambiwa hivo
haitoshangaza sababu umeshawaanzishiaHapa kuna majitu yataleta habari za Magufuli wee subiri tu.
hakuna utofauti mkubwa kiongozi wa hayo manenoAnacheka Mkuu au anatabasamu?
hakuna utofauti mkubwa kiongozi wa hayo maneno