Mtoto kaniuliza kwanini CCM wanakubali CHADEMA wachague wabunge mastaa wote?

Kwa hiyo wewe kazi yako ni kutembea na pipi mfukoni. Huyo mtoto wa wapi Moshi?

kutembea na pipi sio kazi wewe...Ila pia , ikiwa kazi inakuuma?Kweli ndio maana msiponyonga na kumeza mnakufa..kwenu kazi ni dhambi?Naona unaonyesha hofu yenu kwa Moshi mji wa wagumu..mkilala mkiamka mnawawaza wachaga...wenyewe hata hawana muda wa kuwawaza...ila wapo kila mahalia hadi sebuleni kweli wanakula maisha na kuzichanga kwa kasi ambayo hamjawahi hata iota.


Mwambie mzee wako na magamba wengine wachaga wamewaachia moshi km famba..kazi mlifanya 50yrs ya kupigana na vazi la mchaga wakati yeye anavuna shamba lenu kuna mtu kakustua JF kuwa mmebugi.


Hamtakaa muwashike wachaga ktk chumba kimoja,wala fani moja,wala ktk elimu,wala ktk kazi zisizohitaji shule...na siku mnatangaza kuhesabu wadau wa kila maeneo utakuta idadi yao ikiwa nzuri kila sehemu ya ardhi ya nchi hii.
 
Tatizo lingine ni wabunge wa CCM wote kujiona ni kiti maalum cha JK.Na wanadhani lazima wajichekeshe kwake na chama ili wadumu ktk siasa.Hawana man-to-man respect.Ndio maana huwezi shangaa Nyapara Magufuli akisifia wanaume wengine hadi kupitiliza.
 
Ungemwambia tu ukweli huyo dogo ,kwamba CCM Imekaa kiwiziwizi na Rushwa ndiyo Ahadi yao ya kwanza , ndiyo maana MASTAA hawaitaki !
 
Ungemwambia tu ukweli huyo dogo ,kwamba CCM Imekaa kiwiziwizi na Rushwa ndiyo Ahadi yao ya kwanza , ndiyo maana MASTAA hawaitaki !

Sasa wameamua kuwaua watoto waliokwenda watazama mastaa....sijui yupo wapi Ritz na wengine.
 
Lissu Anakwenda mahakani anatoka na Sugu ,huku akiwaacha planners wote wa CCM km "Mapumbavu", halfu Sugu anawapa homework wakajifikirie sana kauli Mkuu wao aliyoitoa...
 
ha ha ha huyu jamaa nikumuona amesimama bungeni huwa na aacha kazi zangu zote nazo fanya na kuanza kumsikiliza
 
Mbunge mmoja wa cdm ni sawa na wabunge 100 ccm

Hizo figure zinabadilika haraka sana...kiuhasili ni kuwa mbunge mmoja wa CDM ni sawa na jumla ya wabunge wete wa CCM+kiti na watenjaji wake+ cheyo na CUF wote na change ibaki..
 
Ningekua na uwezo ningefuta somo la siasa, hizi ni product za unguin PS pale udsm. Wanakuaga weng sana hadi wanaambukiza wengine wa course zingine. Matokeo yake ndio watu kama hawa.
 
Ustaa usiishie kwny majukwaa na kuongea bungeni, pia uonekane kwny kuwaunganisha watu majimboni ili wajiletee maendeleo yao wenyewe.ustaa tu lakini wananchi majimboni wanashindwa kuchimba hata mitaro ya maji machafu wanasubiri serikali? Hakuna tija ya ustaa zaidi ya kuchafuana na kujenga chuki za kidini, kisiasa na kikabila!
 
Back
Top Bottom