Mtoto: Baba elimu haina mwisho ila bagia mwisho wake saa nne

Tuwaseme

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
645
1,189
Baba alimuulza mtoto mbona leo unawai sna shule.
Mtoto akamjbu: Namwahi mwalimu anayeuza bagia shuleni.
Baba: Mjinga sna wee baada ya kuwai masomo unawahi bagia?
Mtoto: Baba elimu haina mwisho ila bagia mwisho wake saa nne 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…