Mtoto Apata Mtoto

Chezea pesa wewe,mfupi anaonekana tolu na tolu anaonekana mfupi.
 
ooops sorry then
It's okay Brother, nisamehe mimi ndio sikumalizia, I meant kuna mtu alianzisha uzi juzi hapa akiulizia kuhusu huyu Mshikaji kuwa eti ni motto....Thanks. Upo lakini Mpwa?
 
Namuonea huruma huyo mtoto kama hatakuwa na kipaji cha aina yoyote na afu akirithi ufupi
 
Pawpaw..Hivi vijamaa hata ukienda kwenye wikipedia zao havitaki kuandika umri wao
 
Usijidanganyike. Hawa siyo watoto wadodo. Mmoja wapo amezaliwa mwak 1997, mwingine sikumbuki.
 
Usijidanganyike. Hawa siyo watoto wadodo. Mmoja wapo amezaliwa mwak 1997, mwingine sikumbuki.
Si kweli mkuu Chinedu Ikedieze (Aki) alizaliwa mwaka 1977 na mwenzie Osita Kenneth Iheme (Ukwa au pawpaw) alizaliwa mwaka 1982
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…