Huyu kiwango chake akacheze ulayaa, baba ke nae kacheza rithaa huko sasa mwanae atacheza priffesional football
Bado najipanga nitamshibisha muda si mrefu, na atakuja humu JF kuomba ushauri, halafu sasa mimi mwenyewe nitampa ushauri.weka kitu, acha kujivunga. Unajifanya tourist, mateka atatekwa!
nakutamani
huwa raha mtoto akicheza.
Mimi nina ujauzito wa kwanza wa takribsni miezi 5. Hivi karibuni mtoto alikuwa kimya kwa takribani wiki [yaani hanipigi saana]. Kwa muda wote huo nilikuwa ndani tu bila kutoka hata nje nipigwe jua. Juzi nilitoka na hsz b wangu tukatembea kwa takribani 3km. nilichoka kweli kweli hadi miguu inaniuma. Kuanzia hapo sasa kababy kanazunguka speed ya ajabu utadhani piranha/samaki japo sipati maumivu. Je hii ni normal?
kawaida dada,furahi mimba yako!!pia jtahidi mazoezi ila hiyo dozi ya 3km ni kubwa sana,muanze polepole
Good sign baby eee.
Usihofu
Ni ujio wa baraka na bahati