TUKIO LA KUHUZUNISHA,MWANAMAMA AJIFUNGUA KISHA MTOTO AMTUPA CHOONI
Tukio hili la kusikitisha limetokea Mkoani Iringa ambapo mwanamke mmoja alijifungua mtoto na kisha kumdumbukiza katika tundu la choo. Mtoto huyo alizaliwa nyumbani sio hospitali baadae siku ya tarehe 04/11/2014 mama huyo alimdumbumiza kichanga hiko jinsia ya Kiume chooni.
Mama huyo alietambulika kwa jina la Magdalena inasemekana lengo kuu la kufanya kitendo hiko cha kikatili ni kuficha ukweli kwa mume wake aliekua safarini kuwa amezaa. kwani tabia yake imekua ni kutoka na wanaume wengine pindi mumewe akiwa hayupo na this time alinasa. ili kujinasua akaamua kudumbukiza mtoto chooni na yeye abaki kuwa mwanamke kwema mbele ya macho ya mumewe.
Mtoto huyo alidumbukizwa chooni jion/usiku wa tarehe 04 na kuokolewa asubuhi yake tarehe 05/11/2014 (leo) baada ya majirani kusikia sauti za kilio cha mtoto mchanga. Mtoto huyo yuko hospitalin kwa sasa huku mama yake akishikiliwa na polisi mwa mahojiano zaidi.

Umeona eeeh alafu alivyo mshenzi anataka kujifanya msafi kwa mumewe je kwa mungu atasema nini?...alafu mtoto unamzaa kwa uchungu wote ule mbali ya shida ya miezi 9 alafu unamtupa ku a watu duniani ni bora ya mbwa
Mama mmoja mjini Iringa aamua kumtupa mtoto wake chooni mara baada ya kumzaa nyumbani.
Mtoto huyo wa kiume aliezaliwa tarehe 4/11/2014 majira ya jioni na mama huyo na kuamua kumdumbukiza chooni ambapo kisa mpaka sasa anamkwepa mumewe aliyepo safarin asijue kuwa amepata mimba na kuzaa.
Hata hivyo chanzo cha habari kinasema kuwa, mama huyo kwa jina la magdalena limano (32) mkazi wa Iringa anatabia ya kumdanganya mumewe na kutoka na mabwana wengine pindi mumewe akiwa safarini kikazi.
Mtoto huyo aliyetupwa choon majira ya jioni mara baada ya kuzaliwa na kukutwa asubuhi ya tarehe 5/11 asubuhi akiwa analia ndani ya choo na majirani na kutoa taarifa.