Lorenzo spencer
Member
- Aug 7, 2022
- 10
- 6
Kama upo Dar nenda maeneo ya fire UN road kuna specialist wa watoto pale atamsaidia.Mtoto wa jirani yangu hataki kula kabisa ana umri wa mwaka mmoja na nusu na ana kilo Tisa(9) tumeshajaribu kumpa virutubisho vya aina vyote Ila bado hataki kula tumempa km seven sea syrup, multivitamin syrup za aina tofauti na bado hali yake Iko vile vile mbaya zaidi anazidi kudhohofika kiafya na anaweza kushida bila kula ht chakula ukimlazimisha anatapika na kulia siku nzima kweli mama anapitia changamoto kubwa sana mpk ameacha kumpeleka clinic kwa sababu akimpeleka manesi wanamtuana na kumwita yeye ni mzembe. Wadau naombeni ushauri wenu nn apewe ili aweze kula mtoto.
Mmmhhh asa hio c balaa tenaZaman tulikua tunatumia mchwa, wanatafutwa kama bakuli moja unawaosha vzur unawaanika kisha unawasaga unachanganya na uji anaoutumia mtoto kwa iman yetu mtoto atafunguka tumbo atakua mlaji mpka mzaz utakwazika mana kila utakacho kiacha huta kikuta kitakua kimeliwa
Lip bora lknMmmhhh asa hio c balaa tena
Sio pale baruani kweliKama upo Dar nenda maeneo ya fire UN road kuna specialist wa watoto pale atamsaidia.
Nimesahau jina la hospital ila inaitwa kwa jina la mtu.
Ni Buruani i think so, kariakoo Un road road fire area.Sio pale baruani kweli
Atakua Dk Hameer huyo ndo yuko fireNi Buruani i think so, kariakoo Un road road fire area.
Yule specialist ni mzuri na wa siku nyingi.4
Vizuri sana kwa klm kuna majani yanaitwa mkunde poriSipo dar nko Kilimanjaro
Kama upo Dar nenda maeneo ya fire UN road kuna specialist wa watoto pale atamsaidia.
Nimesahau jina la hospital ila inaitwa kwa jina la mtu.
Kama upo Dar nenda maeneo ya fire UN road kuna specialist wa watoto pale atamsaidia.
Nimesahau jina la hospital ila inaitwa kwa jina la mtu.