TONGONI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 1,041
- 373
- Thread starter
- #21
Mi nilifikiri tunajadili the science behind the incidence. Kumbe ni jinsi vitabu vya dini na viongozi wa dini walivyosheheni majibu? Good to know this one.
Wakati mwingine tunautumia vibaya uhuru wa kutoa maoni...au kama Madereva ni wale wa daladala.