Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,298 Reaction score 89,404 Nov 9, 2020 #1 Najaribu kuwanza ingekua Africa..
Tuttie JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,265 Reaction score 1,306 Nov 9, 2020 #2 Mad Max said: View attachment 1622986 Najaribu kuwanza ingekua Africa.. Click to expand... Siyo Africa huko mbali ingekuwa Tanzania ..
Mad Max said: View attachment 1622986 Najaribu kuwanza ingekua Africa.. Click to expand... Siyo Africa huko mbali ingekuwa Tanzania ..
Papi Chulo JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 6,260 Reaction score 7,397 Nov 9, 2020 #3 America raha sana,iko siku nitaishi los angeles ,ngoja ziongezeke ziwe nyinginyingi kidogo Inshallah
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,555 Reaction score 17,949 Nov 9, 2020 #4 Tutafika huko kama tukitumia akili zetu vizuri! Kwa sasa ngoja tuendelee kuburuzwa na " weusi" wenzetu.
Tutafika huko kama tukitumia akili zetu vizuri! Kwa sasa ngoja tuendelee kuburuzwa na " weusi" wenzetu.
February Makamba JF-Expert Member Joined Jan 31, 2020 Posts 2,205 Reaction score 3,059 Nov 9, 2020 #5 hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US?
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,364 Reaction score 10,103 Nov 9, 2020 #6 Kwa Aziz Ally au...?
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,487 Nov 9, 2020 #7 Lailah ila Issa said: hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US? Click to expand... Sana,hasa hapa Mississippi mito ni mingi mno.
Lailah ila Issa said: hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US? Click to expand... Sana,hasa hapa Mississippi mito ni mingi mno.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,298 Reaction score 89,404 Nov 9, 2020 Thread starter #8 Lailah ila Issa said: hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US? Click to expand... hahahaha sijui ilitokea wapi hii jina eti mtoni... dah
Lailah ila Issa said: hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US? Click to expand... hahahaha sijui ilitokea wapi hii jina eti mtoni... dah
T Tigershark JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 7,051 Reaction score 12,572 Nov 9, 2020 #9 Hapa utaoga risasi kama sio kuvunjwa vunjwa miguu!
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,985 Nov 10, 2020 #10 ingekuwa kwa jiwe unakatwa hicho kidole afu unadumbukiziwa
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,985 Nov 10, 2020 #11 Lailah ila Issa said: hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US? Click to expand... mito yao ni mikubwa sanaa,kuna mmoja ndege ilizama
Lailah ila Issa said: hivi kwanini mambele mnapaita mamtoni??kuna mito sana huko US? Click to expand... mito yao ni mikubwa sanaa,kuna mmoja ndege ilizama
Papi Chulo JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 6,260 Reaction score 7,397 Nov 10, 2020 #12 Kipangaspecial said: Utaenda kwa hiari au kama mkimbizi wa kisiasa maana kwa sasa kila raia ni potential refugee Click to expand... Hiari aisee ndo maana nazichanga sana,naamini hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa
Kipangaspecial said: Utaenda kwa hiari au kama mkimbizi wa kisiasa maana kwa sasa kila raia ni potential refugee Click to expand... Hiari aisee ndo maana nazichanga sana,naamini hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,201 Reaction score 185,482 Nov 10, 2020 #13 Africa tuna adabu sana... Cc: mahondaw
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 21,854 Reaction score 27,025 Nov 10, 2020 #14 Lucas Mobutu said: ingekuwa kwa jiwe unakatwa hicho kidole afu unadumbukiziwa Click to expand... Lissu angefurahia Sana.
Lucas Mobutu said: ingekuwa kwa jiwe unakatwa hicho kidole afu unadumbukiziwa Click to expand... Lissu angefurahia Sana.
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,985 Nov 10, 2020 #15 Kadhi Mkuu 1 said: Lissu angefurahia Sana. Click to expand... mkuu, comment yangu sio ya kisiasa, ni ukweli tu nimesema na wala sio kibaya,udikteta wa Africa una faida zake na moja wapo ni hiyo rais wa Africa hawezi tukanwa hivo
Kadhi Mkuu 1 said: Lissu angefurahia Sana. Click to expand... mkuu, comment yangu sio ya kisiasa, ni ukweli tu nimesema na wala sio kibaya,udikteta wa Africa una faida zake na moja wapo ni hiyo rais wa Africa hawezi tukanwa hivo