Mtongoze mwanamke ndani ya dakika tatu

Hapa ni uongo mtupu, mwanamke anajua mwenyewe kinachomvutia kwa mwanamume
 
Kwa maandalizi hayo ......dakika tatu au miezi mitatu....
 
Mkuu kisu umesahau kisu na uchawi wa mzungu(gari). Hutapata shida
 
Dakika tatu hizi hizi ninazozifahamu mimi au.
Hhahhahah
 
Hi ungewatonya wanaume tu sasa mbinu ya vita anaisoma na mdada pia WAMESHTUKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…