Mtongoze mwanamke ndani ya dakika tatu

Dakika 3 za kibongo unazijua mkuu?? Labda ungesema dakika 3 za kizungu...mademu wenyewe hawa wa kibongo ukitupia ndoano saa hiyo hiyo anakuwa yatima maskini


 
Dakika 3 za kibongo unazijua mkuu?? Labda ungesema dakika 3 za kizungu...mademu wenyewe hawa wa kibongo ukitupia ndoano saa hiyo hiyo anakuwa yatima maskini


Unaweza kumfanya acheze utakavyo
 
Usafi,kujiamini,usijisifie sana,mawazo chanya na msimamo kwa vitu chanya utampata mwanamke PESA sio kitu ktk MAPENZI japo ni muhimu isitangulizwe mbele kama hongo
 
To Super Woman 2,

I am sincerely in love with ya avatar, I wish i could get a chance to meet dat beautiful lady MUBASHARA

Mkuu cm za siku izi ziache tu,unaeza hata kumvalisha masai chupi kwa kutumia simu,sembuse Avatar[emoji3]
CHEZEA SMARTPHONE WEWE
 
Tatizo la kutongoza ninalo mwenzenu, japo mfuko si haba ila ikija suala hilo huwa nakosa ujasiri kabisa
 
Mbona sii dk3 tena?na badala yake njia hii itakuwa ni majuma3?
 
Ukitaka mwanamke akuwaze na akutafute mwambie una hela ya mtaji milion kadhaa hv ila hujui ufanye biashara gan [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ukiwa mjanja mjanja wa ahadi za uwongo lkn unapozitoa unakuwa unajiamin,utawagonga wengi bila hata wallet kutuna
 
Kama sijavutiwa na wewe swaga zote hizo ni kazi bure!
 
Mimi nadhani wewe ndo unahitaji kufundishwa namna ya kutongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…