BALABALA!Mto MWAME unaopatikana wilaya ya misungwi ukiunganisha kata ya misasi na mwanangwa umejaa maji kwa takribani wiki moja sasa na kupelekea mabasi madogo ya abiri (mini bus) na magari mengine yanayotoka salawe Shinyanga na maeneo mengine kushindwa kupita kwenda Mwanza vinginevyo wanalazimika kuzungukia inonelwa, mwamashimba hadi hungumalwa ndipo waweze kufika Mwanza mjini..
Ukiachia mbali na hilo kuna taarifa za watu kufa maji wakati wakijaribu kuvuka darajani hapo, kusombwa na maji.
Tafsiri kutoka kisukuma kwenda kiswahili ili nielewe mimi mkonongo.Mto MWAME unaopatikana wilaya ya misungwi ukiunganisha kata ya misasi na mwanangwa umejaa maji kwa takribani wiki moja sasa na kupelekea mabasi madogo ya abiri (mini bus) na magari mengine yanayotoka salawe Shinyanga na maeneo mengine kushindwa kupita kwenda Mwanza vinginevyo wanalazimika kuzungukia inonelwa, mwamashimba hadi hungumalwa ndipo waweze kufika Mwanza mjini..
Ukiachia mbali na hilo kuna taarifa za watu kufa maji wakati wakijaribu kuvuka darajani hapo, kusombwa na maji.
Huenda amepitia alichokiandika na akaona kua yupo sawa kabisa.Ngosha na BALABALA🤣 Asante kwa taarifa ila uwe unapitia ulichandika kabla ya kupost😄
Kapicha kidogo.....Mto MWAME unaopatikana wilaya ya misungwi ukiunganisha kata ya misasi na mwanangwa umejaa maji kwa takribani wiki moja sasa na kupelekea mabasi madogo ya abiri (mini bus) na magari mengine yanayotoka salawe Shinyanga na maeneo mengine kushindwa kupita kwenda Mwanza vinginevyo wanalazimika kuzungukia inonelwa, mwamashimba hadi hungumalwa ndipo waweze kufika Mwanza mjini.
Ukiachia mbali na hilo kuna taarifa za watu kufa maji wakati wakijaribu kuvuka darajani hapo, kusombwa na maji.
😂😂😂aiseeTatizo ni mwalimu wangu wa Kiswahili
"Balabala zetu so imala, hii ni sili nakupa""balabala"