MTK Loggers katika simu ni kitu gani?

frem zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
595
Reaction score
879
Wakuu habari zenu. Naomba kujuzwa MTK Loggers ni nini?

.

Application hii imekuwa ikinisimbua sana pale napokuwa naingia Facebook. Tatizo linakuwa hivi : Nikiingia Facebook simu inajizima kisha inajiwasha yenyewe na kuandika maneno haya

.

Niki press ok inaanza kunyonya MB storage

.

Nachofanya mimi ni kuzifuta na hapo ndipo nitaweza kutumia facebook bila tatizo. Nimejaribu kwa kila namna kutatua tatizo hili nimeshindwa hadi natamani kufuta application hii, ila naogopa nisije kuharibu zaidi simu yangu.

NB: tatizo hili hujitokeza ninavyotaka kutumia facebook pekee, kwa application za whatsap, jamii forum na instagram hakuna tatizo kabisa
Wataalam wa simu naomba mnisaidie mpendwa wenu. Simu yangu ni Huawei Y330. Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…