Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Nawe weka yako hapa tuyasifie
Waambie,Shupid kabisaa,
Hawana kaziiii haooooo
Nyie wanawake wa Tanzania hususani huko Instagram fuateni mifano ya wanawake wenzenu wanaojielewa kama Jackline Ntuyabaliwe na Faraja Nyarandu na Nancy Sumari.. Hawa wadada nawapenda sana, hawanaga scandal uchwara na wametulia wanafanya maisha yao...
Hakuna Tabia inayonikera kama hawa wadada wa mjini wanaojiita team Wema mara team kajala na team lulu.. Hivi hao watu wana tabia gani njema mpaka wawe na wafuasi?? Na hao wafuasi wana kazi za kufanya au ndo iyo ya kusifia na kutukanana huko instagram kutwa nzima?? Mbona sijawai sikia team kylin wala team sumari??? Niliingia huko instagram kwa mashinikizo kadhaa ila ilibidi niblock huo uchafu sijui wema, lulu block wote hao.. Hawana post za maana zaidi ya kupiga makalio yao na kuyaweka tuyasifie.. Shupid
Naomba kuwasilisha...
Waambie,Shupid kabisaa,
Hata hao uliowataja wana matatizo yao...sema tu wameamua kupunguza speed
Watu kama Wema wamewainspire watu wengi haswa class 7 na form 4 leaver kuwa papuchi inaweza ikakufanya uishi maisha yao ya maono.
Enough said, well put. yaani hii movement yoote is about that realization kwamba if wema did it they can do it. wema is a supreme role model to the dumb and failure girls from all over uswazi. japo mafanikio yake ni ya upepo still wanakuwa inspired.Watu kama Wema wamewainspire watu wengi haswa class 7 na form 4 leaver kuwa papuchi inaweza ikakufanya uishi maisha yao ya maono.
Enough said, well put. yaani hii movement yoote is about that realization kwamba if wema did it they can do it. wema is a supreme role model to the dumb and failure girls from all over uswazi. japo mafanikio yake ni ya upepo still wanakuwa inspired.
Nyie wanawake wa Tanzania hususani huko Instagram fuateni mifano ya wanawake wenzenu wanaojielewa kama Jackline Ntuyabaliwe na Faraja Nyarandu na Nancy Sumari.. Hawa wadada nawapenda sana, hawanaga scandal uchwara na wametulia wanafanya maisha yao...
Hakuna Tabia inayonikera kama hawa wadada wa mjini wanaojiita team Wema mara team kajala na team lulu.. Hivi hao watu wana tabia gani njema mpaka wawe na wafuasi?? Na hao wafuasi wana kazi za kufanya au ndo iyo ya kusifia na kutukanana huko instagram kutwa nzima?? Mbona sijawai sikia team kylin wala team sumari??? Niliingia huko instagram kwa mashinikizo kadhaa ila ilibidi niblock huo uchafu sijui wema, lulu block wote hao.. Hawana post za maana zaidi ya kupiga makalio yao na kuyaweka tuyasifie.. Shupid
Naomba kuwasilisha...
we ni timu...faraja ,jackline au nancy?
Hivi kukwapua waume za watu sio scandal eeeh?????? Muondoe Kota
Hao team upuuzi wa huku IG wanatokana na ukosefu wa ajira bin u-jobless