Labda anazungumzia taarifa uliyotoa awali mkuu. Lkn mabadlko yaltokea ndo mana umetundka Uzi tna.[/QUOTE
Mabadiliko ya nini??
NDo nimetoka eneo la tukio binamu, yaani hakuna watu hata kidog , nadhan waliokuwepo ni ndugu wa karibu na familia, nadhani ni kutokana na mda nilioeenda na umbali wa eneo la tukio, maana kuna ka umbali kutoka barabaran had kwenye msiba
Kingine watu wengi hawamjui adam kuambina, hata majiran wa uko bunju maana nilipata shida sana kufika, yaan hakuna aliyekuwa akimjua adam maeneo yale, nadhan hakuwa mwenyej sana maeneo yale, mengine madogo madog ntaongea kesho maana choka mbaya apa.
Ndio mana nikasema mabadlko ulvoenda na baada ya hapo mkuu.
...