Mtilibeli umeona intelijensia ilivyo kali?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
265
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amethibitisha kukamatwa kwa Watu hao katika maeneo tofauti ndani ya Tanzania ambapo walithibitha kuhusika na mauaji hayo pamoja na kuchukua kiasi cha fedha shilini milioni tisa.

Baozhang Ge alikuwa Mmiliki wa Kiwanda cha Kuchakata Makopo maeneo ya Mabibo, ambapo aliuawa Mei 16, 2026.

#MillardAyoUPDATES
 
Hakuna lolote, waliomuua Ali Kibao mbona mpaka leo hawajawakamata? Vipi kuhusu waliomshambulia Lissu? Je waliomteka Mdude? The list is endless.. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…