Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

Kagame kaanza na Kikwete sasa anafukuzana na Mtikila?

SMH.
 
hajarukia kila mtu....watz tumezoea kuropoka.....alichosema ni sahihi...taratibu za jamii forums zimekiukwa....haki ya nani ikatokea genocide nyingine jamiiforums lazima ukanyee ndoo....Kagame ni mtu makini
 
Majitu mengi humu ni very ignorant yanafikiri Kagame ndio alifanya genocide na interahamwe ni victims!
 
ha ahaha haha haya mabo ya kutishia nyau ni very funny indeed!!
 
kama unadhani kagame ni mvivu wa kuandika wewe ni mvivu wa kufikiri.....kagame ataanzaje kutoa maelezo juu ya hate speeches?document ya mtikila ni kubwa imejaa uchochezi na hatred,kama ungekuwa unajitambua usingemsupport mtikila na JK at the same time kwa sababu JK anapendekeza mazungumzo ya amani kati ya FDLR-wahutu waliowengi na serikali wakati Mtikila anashabikia uhasama.....kama huwezi kusoma ukatambua wapi uhasama na wapi amani unadhani hata akaandika page 100 kama za mtikila utaelewa?kuelewa ni wito pia kama huna huna tu...
 
kamuone DR. akufanyie scanning ya kichwa.......u will ever live to be what u are...
 
Nguruvi3 umedanganya..kwanza ntaganda alijisalimisha mweenyewe ubalozi wa marekani,hayupo rwanda bali yupo the Hague....kukurupuka huko kwetu watz tumeshazoea....tatizo la wahutu na watutsi ndo lilizaa genoside unawezaje ukasema ni kuficha ukweli?mwanzoni nilidhani huna taarifa ila kadiri ninavozidi kusoma hizi post naona u are informed sema tu haupo makini unapindisha ukweli......FDLR imetengenezwa na wengi wa wanajeshi walokuwa kwenye jeshi la serikali ya Habyarimana genosidaires unasema nini...fuatilia mambo?
 
kagame siyo paster kusema eti angekemea interahamwe wakatupa mapanga,grenade,bunduki,agapfuni,mabomu nk.ilibidi kujihami pia na ili kuzuia kumwaga damu zaidi ilibidi damu imwagike.....nitahoji uelewa wako kama utaendelea kusema kagme hakupaswa kumwaga damu in the course of stopping genocide.M23 wanatofauti gani na waasi wa Libya wakati wa Gadaf na wasi wa syria leo hii?Obama anawasupport tena na kuwatangaza wazi wazi kwenye vyombo vya habari misaada ya vifaa vya kivita wanapewa nk bado serikali yetu inaona kama kutembelewa na Obama ni zawadi kutoka kwa Mungu...kama JK angekuwa mwanaume kweli asingemsaliti jembe Gadaf kwa kuruhusu Obama kuja TZ...kwanini ahusike sana na unrest ya congo amabyo matatizo yake hayana tofauti na yale ya benghazi?Tatizo lipo wapi wanyamurenge kuongea kinyarwanda?mbona wamakonde wanaongea kimakonde na kiswahili hawajafukuzwa msumbiji au waliopo tz hawajafukuzwa kwenda msumbiji?report za UN ni "utter nonsense" wamekuwepo miaka nenda rudi wakati dam za wanyarwanda zikimwagika UNAMIR chini ya Commender LT GEN. Romeo Dallaire si walikuwa na miaka kibao Kigali eti wanalinda amani walisaidia nini?iweje leo uone report yao ndo yenye maana!
 

Wameshaondoka siku nyingi? Kina Mwalawasa au Lauren Nkunda walifadhiliwa na nani?
Utake usitake jamaa anaiba Madini ya Congo kuendesha nchi yake.
 
Mtikila is a Tutsi and Indian people hater number one,na kwa nini JF wana promote hizi hate speech za kina Mtikila,na mnao support hizi garbage za Mtikila be careful what you wish for!!

haha you guys are useless. Its a freedom of speech.Huko kwenu nyinyi mbuzi hamna freedom of speech. kazi kuwapa watu wasio na hatia kesi feki za genocide. shiet, move on from this self pity situation you are in for a long time whilst you and Kagame regime setup a massacre. leave mtikila alone let he say what he has to say.
 
Take a pill,moron!
 
These people want to conquer our territory, Serikali na vyombo vyetu vya ulinzi lazima muwe makini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…