meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Mtikila kajisemea kweli tu kwamba lowasa hafai hata kwa kachumbari.
Kwanza kabisa Bw.Lowasa kiasilia siyo Mmasai (mfugaji) bali ni Mmeru kam vile Bw.Slaa!Ukifuatilia mtiririko wa shutuma za mtikikila dhidi ya lowassa utaona kuna ujumbe uliojificha! UJUMBE HUU unaweza kuwagawa wapiga kura na pengine ukachukuliwa serious na wanausalana,wanasiasa na hatimaye wapiga kura. Ina maana kuna mkakati uliosukwa na wakulima ili kumpitisha mtu wao na baadaye wafanye yao? Je kuna ukweli wowote kwamba EL hajaongelea mikakati yoyote ya kuwakwamua wakulima? Je kuna mgombea yoyote kupitia ccm ameligusia suala la migogoro ya wakulima na wafugaji? Je kuna mgombea yoyote ni pro-wakulima au pro-wafugaji. Siasa zinatupeleka pabaya sana iwapo suala hili litaachwa kumea. Usalama wa Taifa ni lazima waingilie kati ili kuepusha aina yoyote ya kupolarize jamii ya kitanzania. Wagombea kupitia midahalo wajiweke wazi juu ya swala hili kabla ya kukutana na mvutano unaofanania na ule wa kidini 2010. Ni maoni ya tahadhari tu.tusiweke siasa mbele.
Kwanza kabisa Bw.Lowasa kiasilia siyo Mmasai (mfugaji) bali ni Mmeru kam vile Bw.Slaa!
Mtikila njaa inamsumbua nilicheka sana alikuwa anaenda kwa Rostam kupiga mizinga Rostam alivyokuwa muhuni alikuwa anamsainisha kila akimpa pesa, Mtikila akajisahu akaanza kumponda Rostam kwenye media Rostam akaweka wazi Mtikila alivyokuwa anakwenda Caspian kuvuta pesa, Mtikila akajitetea eti alikopa.
Teh teh teh!!
Watu wengi hawafahamu.lowasa akichukua madaraka ya nchi hii ng'ombe watachunga mpaka viwanja vya ikulu.
Mtikila njaa inamsumbua nilicheka sana alikuwa anaenda kwa Rostam kupiga mizinga Rostam alivyokuwa muhuni alikuwa anamsainisha kila akimpa pesa, Mtikila akajisahu akaanza kumponda Rostam kwenye media Rostam akaweka wazi Mtikila alivyokuwa anakwenda Caspian kuvuta pesa, Mtikila akajitetea eti alikopa.
Teh teh teh!!
Ndani ya kweli ya mtikila kuna ujumbe mzito
Kwanza kabisa Bw.Lowasa kiasilia siyo Mmasai (mfugaji) bali ni Mmeru kam vile Bw.Slaa!