Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,350
Last edited by a moderator:
Huyu Mtikila ni mjomba wanguu ni dhurumati wa kutupwaa alipewa million kumi na mjane amsaidie akaziraa sasa anataka kusema yeye na lowasa wanatofauti gani anaambatana na na kimada wa marehemu kutaka kumdhurumu mjane wa marehemu ambae ni mke halali wa marehemu halafu anajiita Mchungaji huyo Mtikila anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kumsema lowasa
Huyo mzeee huwa nasikia kichefuchefu kujifanya anahuruma na wanainchi wakati anataka kudhurumu mjane:A S angry: