Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 366
Mitihan mbona wakati
mwingne wanafanya mmoja?mfano form6 mwk huu walifanya mmoja na bado
wamefulia,in short ni kwamba pc huwa hawasomi ukilinganisha na msuli wa
sc full stop!
Mitihan mbona wakati mwingne wanafanya mmoja?mfano form6 mwk huu walifanya mmoja na bado wamefulia,in short ni kwamba pc huwa hawasomi ukilinganisha na msuli wa sc full stop!
Sasa kumbe umeshajua tatizo liko wapi, hata sisi tulipohitimi A-LEVEL na kukaa mtaani muda mrefu bila ajira tulibuni ajira ya kufundisha tuisheni kwenye vituo vya mitaani, sasa huo mkwara wake sio wa kitoto, wanafunzi wakifunga shule zao wakifika tu kwanza unawapiga mkwara wewe nani, ulisomea wapi na ufaulu wako ulikuwaje katika somo husika, basi wakitoka hapo siku ya pili wanakuja na wenzao maisha yakasonga mbele.Ndugu hacha iyo habar kabisa ,, nakumbuka tulivokua tunasooma sio mchezo kabisa. Sema ttzo lipo kwenye vituo vya mitaani Walimu wengi ni wale wale wanafunzi wa Form six ambao kila mmoja anajisifu alipas mtihani wa taifa.
Amekudanganya nani? WATAHINIWA WOTE NI SAWA MBELE YA BARAZA LA MITIHANI NA WOTE WANASAHIHISHIWA KWA KUTUMIA MARKING SCHEME MOJA NA WASAHIHISHAJI NI WALE WALE, GRADE NI ZILE ZILE.kweli kabisa mkuu, ila kwa upande wa passmark nackia pc ni 50% tofauti na sc ambayo ni 41%.je ni kweli?
sasa kumbe umeshajua tatizo liko wapi, hata sisi tulipohitimi a-level na kukaa mtaani muda mrefu bila ajira tulibuni ajira ya kufundisha tuisheni kwenye vituo vya mitaani, sasa huo mkwara wake sio wa kitoto, wanafunzi wakifunga shule zao wakifika tu kwanza unawapiga mkwara wewe nani, ulisomea wapi na ufaulu wako ulikuwaje katika somo husika, basi wakitoka hapo siku ya pili wanakuja na wenzao maisha yakasonga mbele.
Sababu ya pili. Ni vigumu sana kwa mtahiniwa binafsi kufaulu kama hajui ni kwanini alifeli. Mtahiniwa binafsi anayejua kosa lake ni rahisi kutolirudia na huyo ana nafasi kubwa ya kufaulu mtihani.
Sababu ya tatu. Watahiniwa wengi unaowaona mitaani wakihangaika na kufanya mitihani kama pc, hufanya hivyo kutokana na shinikizo la familia au wazazi ambao wanajua umuhimu wa elimu, vinginevyo vijana wa siku hizi kama ingekuwa ndani ya uwezo wao wangependa waende kwenye kusomea kazi moja kwa moja veta.
Sababu ya nne. Haiwezekani mtu aliyeshindwa kufaulu ndani ya mfumo rasmi huku akiwa huru na kazi yake ni moja tu kusoma na bado akafeli halafu unatarajia afaulu wakati ameshaanza maisha ya mtaani huku ameanza kazi na demu anamtegemea yeye na bado starehe inamsubiria yeye bila kufungungwa fungwa na mtu.
kweli mkuu wengi hawajui kosa walilolifanya mara ya kwanza,pia hawakubali walifanyakosa,wanalaumu necta so ni vigumu kufaulu.ukikubali kosa unajifunza kitu ambacho ulikosea kikoje na hauludii tena.
Tunaisubiri kwa hamu mkuu labda itasaidia hawa watanzania wenzetu walio nje ya mfumo rasmi ili nao wanufaike na matunda ya juhudi zao katika kujielimisha.Nna research yangu juu ya kwa nini ma prevate candidates wanafeli,ntaitoa hewani simda mrefu.
Soma post namba sita hapo juu utapata jibu la ulichokiongea.Nafikiri na alama za ufaulu za hawa wa kujitegemea huwa zinapaishwa kidogo....
kama sio muanga utaongea mengi ,,mimi matokeo ya kwanza yalikuja cijafauru ,,ila nilivyo lisit hata sikujiandaa kama mtihani wa mwanzo ila nilifauru kilahisi tu ,,xo kwa mtu ambaye amerisit na akafel anitafute nimpe ujanja na maexperience
hata mimi nashuudia kutoka kwangu nilifanya mtihan wa six huku ni mfanyakaz na nilifanya vizuri sana kwa kupata one ya uhakika cha msingi uwe na malengo usijidanganye pc ni ngumu kwa hiyo unatakiwa usomE mara mbili ya SC
kweli kabisa mkuu, ila kwa upande wa passmark nackia pc ni 50% tofauti na sc ambayo ni 41%.je ni kweli?
Sasa kumbe umeshajua tatizo liko wapi, hata sisi tulipohitimi A-LEVEL na kukaa mtaani muda mrefu bila ajira tulibuni ajira ya kufundisha tuisheni kwenye vituo vya mitaani, sasa huo mkwara wake sio wa kitoto, wanafunzi wakifunga shule zao wakifika tu kwanza unawapiga mkwara wewe nani, ulisomea wapi na ufaulu wako ulikuwaje katika somo husika, basi wakitoka hapo siku ya pili wanakuja na wenzao maisha yakasonga mbele.
Sababu ya pili. Ni vigumu sana kwa mtahiniwa binafsi kufaulu kama hajui ni kwanini alifeli. Mtahiniwa binafsi anayejua kosa lake ni rahisi kutolirudia na huyo ana nafasi kubwa ya kufaulu mtihani.
Sababu ya tatu. Watahiniwa wengi unaowaona mitaani wakihangaika na kufanya mitihani kama PC, hufanya hivyo kutokana na shinikizo la familia au wazazi ambao wanajua umuhimu wa elimu, vinginevyo vijana wa siku hizi kama ingekuwa ndani ya uwezo wao wangependa waende kwenye kusomea kazi moja kwa moja VETA.
Sababu ya nne. Haiwezekani mtu aliyeshindwa kufaulu ndani ya mfumo rasmi huku akiwa huru na kazi yake ni moja tu kusoma na bado akafeli halafu unatarajia afaulu wakati ameshaanza maisha ya mtaani huku ameanza kazi na demu anamtegemea yeye na bado starehe inamsubiria yeye bila kufungungwa fungwa na mtu.