Mtihani wa kwenye usaili halmashauri ya Temeke

Mtihani wa kwenye usaili halmashauri ya Temeke

stargirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
462
Reaction score
540
IMG-20170927-WA0001.jpg
ambao kuangalia taarifa ya habari ni tatizo ,,na kukaa ukariri tarehe ya kila tukio duu
Mnaojua vyema jibuni
 
Nilichogundua mchujo wa kwanza ni maswali ya ujumla.. Hasa matukio yanayotokea nchini
 
Hivyo hapo inakuwa ni nafasi ipi ya kazi ambayo wanatoa mtihani kama huo?
 
Mbona maswali yako irrelevant na hizo positions , sasa mambo ya uchaguz wa Kenya na mambo ya halmashauri za Tanzania wapi na wapi?
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Sawa sawa, milango ipo lakini tupo baadhi yetu tunapitia madrishani.

Endeleeni kubanana na mlango mmoja.

Ni sauti ya jamaa yangu akikuwa akini address whats going on in most of interviews.

Shyeeeedah
 
kwa kweli mtihani unakuwaga na mpaka (silabasi),sasa apo wanaweza kuuliza chochote wanachokifikilia na ukifeli unaonekana mjinga,kwa njia hiyo yani hata wewe ukiwatungia awapiti
 
Back
Top Bottom