MK254 Kwanini somalia wakenya mnaifanya kama koloni lenu! halafu kilajambo jema la somalia mnalipigia upatu na kulihusisha na nguvu zenu!
Msiba umeisha au Standard Digital News - KTN : Kenya News, Nairobi News, World News, KTN Videos polen sanaJameni hongera kwa serikali zote ambazo zimekomaa humo humo hadi mafanikio yameanza kuonekana, wakati wengine walifyata mkia na kila siku wapo kazi ni kubeza waliojitolea. Juzi nimeiona video fulani kuhusu Somalia ya kisasa, matumaini yanaendelea kuonekana baada ya safari ya miaka 25, vijana wameanza kupata elimu ya kweli isiyo na chuki ndani ya nchi. Alshabaab juzi wameiba vyakula kutoka kwa wanavijiji, ni ishara nzuri sana ya kuonyesha wameishiwa, na hadi wamechanganyikiwa, bangi zimewatuma kuvamia kambi ya jeshi, duh!! FaizaFoxy na MOTOCHINI mujiandae kutalii Somalia. Wana hoteli nzuri sasa na usalama unaendelea kuimarishwa.
Msiba umeisha au Standard Digital News - KTN : Kenya News, Nairobi News, World News, KTN Videos polen sana
Wagombezi wa nchigan wenye asili ya kenya, wacheni kujidanganya kuwa nyie pekee mmewezesha hayo somalia ajabu kila day marekani hushambulia mara kwa mara kwa ndege kule, Warundi wapokule,Uganda wapo kule,Ethiopia wao kule.MOTOCHINI Kwa sababu wengi walijaribu wakatoroka, hadi hata Marekani na nguvu zao, ila sisi tumeenda na kukomaa nao hadi tukaiweka sawa. Na bado, tutatangaza kila mafanikio huko, halafu kwa taarifa yako, sasa hivi wagombezi wa urais wanaosifika na kusikika wote wana asilia ya Kenya. Mtahangaika sana na huo wivu wenu.
Wagombezi wa nchigan wenye asili ya kenya, wacheni kujidanganya kuwa nyie pekee mmewezesha hayo somalia ajabu kila day marekani hushambulia mara kwa mara kwa ndege kule, Warundi wapokule,Uganda wapo kule,Ethiopia wao kule.
Wagombezi wa nchigan wenye asili ya kenya, wacheni kujidanganya kuwa nyie pekee mmewezesha hayo somalia ajabu kila day marekani hushambulia mara kwa mara kwa ndege kule, Warundi wapokule,Uganda wapo kule,Ethiopia wao kule.
Serikali ya Somalia ipo mjigani?Kati ya nchi hizo unazoziataja ni ni majeshi ya nchi gani waliojaribu kutuliza nje ya mji mkuu wa mogadishu?
Ukipenda acha kupoteza muda kwani kama uongo itafahamika kwani kipindi hiki si chakumbumbereza dume mwenzie kuhusu habari kilajambo ukipenda kulifaham utalifahamu tena kwa ufasaha kuliko mropokaji asie jitambua na kujiamini, Hakuna KDF baba la yeyote wapuzi tu jeshi linakwenda kwenye shuguri pevu wana salia kuiba juice na mikate leo useme jeshi !!Hao wote uliowataja ni mashujaa, ila ni baada tu ya baba yao KDF kufika pale ndio issue ikakaa sawa, la sivyo ingekua mziki wa kila siku. Hilo la wagombezi sina haja ya kupoteza muda wangu maana hutawajua, wala kuwaelewa.
Ukipenda acha kupoteza muda kwani kama uongo itafahamika kwani kipindi hiki si chakumbumbereza dume mwenzie kuhusu habari kilajambo ukipenda kulifaham utalifahamu tena kwa ufasaha kuliko mropokaji asie jitambua na kujiamini, Hakuna KDF baba la yeyote wapuzi tu jeshi linakwenda kwenye shuguri pevu wana salia kuiba juice na mikate leo useme jeshi !!
Vizuri na ubarikiwe sanaHehehe!! naona nimeguza penyewe, jamaa umetokwa na povu balaa... huwa nacheka sana nikiwafikisha katika hali hii.
Jameni hongera kwa serikali zote ambazo zimekomaa humo humo hadi mafanikio yameanza kuonekana, wakati wengine walifyata mkia na kila siku wapo kazi ni kubeza waliojitolea. Juzi nimeiona video fulani kuhusu Somalia ya kisasa, matumaini yanaendelea kuonekana baada ya safari ya miaka 25, vijana wameanza kupata elimu ya kweli isiyo na chuki ndani ya nchi.
Alshabaab juzi wameiba vyakula kutoka kwa wanavijiji, ni ishara nzuri sana ya kuonyesha wameishiwa, na hadi wamechanganyikiwa, bangi zimewatuma kuvamia kambi ya jeshi, duh!!
FaizaFoxy na MOTOCHINI mujiandae kutalii Somalia. Wana hoteli nzuri sasa na usalama unaendelea kuimarishwa.