Mtihani wa IELTS pale british council.

Huu mtihani ukishafanywa una expire lini? what is the validity time period?

Valid kwa miaka miwili tangia ulipofanya. Baada ya hapo yabidi ufanye tena. Hii ni kwa IELTS Academic ila kwa
IELTS General sijajua kama inaexpire in the same 2 yrs
 

Ndugu Zanishaha usinganganie sana kuwa ulifanya IELTS St John, TZ hakuna centre ziaidi ya British Council. Na sioni score za Module zote nne na sijui Speaking, listening, writing and Reading. Sasa sijui hao wanaowadanganya sijui kina nai.
nasema kwa kuwa nilishafanya way back 2010 na nikaona procedure zote na by then nililipa karibia laki nne sasa wewe unasema elfu tano.
Unapewa cheti kimoja na kila ukihitaji cha ziada unalipa karibia elfu 30
 


Waingereza wana akili na huwa hawafanyi mchezo kwenye haya mambo,me nikuhakikishie kwamba,kwa Tanzania huo mtihani wa IELTS centre yao ipo British Council peke yake na kama umefanyia chuo basi ni fake 100%....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…