Habari wana jamvi,
Ninajiandikisha kufanya huu mtihani hapo British council,kuna hivi vitu:
Ordering the specimen pack - TZS 55,00010-hour IELTS preparation workshop - TZS 150,000.
Je?ni vya ulazima.
maana mpaka na hapa 350,000/nzima ishanitoka.
naombeeni msaada wenu katika hili.
Habari wana jamvi,
Ninajiandikisha kufanya huu mtihani hapo British council,kuna hivi vitu:
Ordering the specimen pack - TZS 55,00010-hour IELTS preparation workshop - TZS 150,000.
Je?ni vya ulazima.
maana mpaka na hapa 350,000/nzima ishanitoka.
naombeeni msaada wenu katika hili.
Duu sema hiyo pesa ni ndefu sana,huwezi amini me nimepiga hiyo test na kupata certficate kwa 5000 tu chuon kwetu na certificat nimepewa,hiyo hatari
kipenzi ingekuwa ilets inawezekana kupatikana kwa elfu 5 tu sidhani kama tungehangaishwa hivyo unadanganya na kama ni kweli tuambie hiyo shule labda si tanzania na mlipewa msaada.
Certificate hiyo kaka,sina haja ya kuongopa habari za udaku na umbea ni facebook na jukwaa la gossip/comedy na sio hapa
Hiyo ni ya st.john.....haisound kama ya British council.
kaka tunazungumzia IELTS - INTERNATIONAL ENGLISH LANGUAGE TEST STANDARD,popote itakapohitajika IELTS ndo hiyo hao ni representative kaka anyway tuyaache,ila jua popote waliporusiwa na wakafanya hiyo test ni sawa,na isije nikawa napoteza nguvu wala huifaham,usiku mwema
Certificate hiyo kaka,sina haja ya kuongopa habari za udaku na umbea ni facebook na jukwaa la gossip/comedy na sio hapa
Ndugu hicho sio cheti cha IELTS ni cha English Proficiency cha St John. IELTS viko standardized worldwide na vina details za kutosha na hutolewa na organisation Tatu tu worldwide otherwise ni void
1. University of Cambridge ESOL Examinations,
2. The British Council
3. IDP Education Pty Ltd
In short hakuna Test ya Tsh 5000 for IELTS
hiyo ni certificate ya english proficiency na sio kama zile za IELTS au TOEFL.. sa we tumia hicho cheti chako afu test zali kama unaomba kusoma masterz uk, canada, usa or australia usikie balaa lake....Certificate hiyo kaka,sina haja ya kuongopa habari za udaku na umbea ni facebook na jukwaa la gossip/comedy na sio hapa
Kuna vyuo vya uingereza....wanatambua IELTS ambayo inatolewa na British Council only....mfano mzuri ni Southampton na Central Birmingham universities....ndo maana nikasema hivyo!
Unaweza ku-make follow up of this kujiridhisha.
Kijana ukisikia hizo test chuo wametoa,chuo inakuwa kama kituo wanaosimamia na kuoganize ni watu wenyewe mbele sio tu kabwela yeyote na sio kiholela,na wanazunguka sehem nyingi,hiyo certificat mim naitumia popote kijana,