[QUOTE="mzee mb
Hili niliuliza pale ambapo mpenzi ninayeishi naye amekuja na mdogo wake nae ni mzuri kuliko y moja?
USHAURI WENU TENA UNAHITAJIKA.
[/QUOTE]kwani huyo shem wako nae anakutamani? sasa umtamkie wakati wala hana habari na wewe, kama hutahama nyumba kabla mkeo hajarudi!!!