Shukran mkuuMungu baba akawasimamie, lakini kama hawakujiandaa maombi yetu sawa na bure, kazi na dawa, kusoma na maombi
Wapo wanao rist nao ni wadogo zako,sema kila rahela wanao Fanya mitihani ya kidato cha NNETuwatakie mitihani mema vijana wanaomaliza kumaliza kidato cha nne 2017. Ni miaka 15 sasa na mimi nikiwa katika chumba cha mitihani wa kumaliza kidato cha nne 2002.
Kila la kheri wadogo zetu na watoto wetu mliaoanza mitihani ya kumaliza kidato cha nne 2017.
Nimekupata, asante sana kwa kuliweka sawa hilo.Wapo wanao rist nao ni wadogo zako,sema kila rahela wanao Fanya mitihani ya kidato cha NNE