Mtibwa 4 Simba 2

Mtibwa 4 Simba 2

Hapa ndo wanapata jawabu la nani bora kati ya Musoti na Sserenkuma. Vikosi vilikuwa vya kwanza au. Hiyo mtani jembe hiyo, kuna mtu atahaibishwa.
 
mambo ya ngoswe mwachie ngoswe, tukutane decemba 13
 
Ikiwa na wachezaji wao wote nyota,mikia fc wamekalia vinne taslimu kutoka kwa mtibwa sugar

Kikosi tafadhali

Vikosi vilikuwa;

Simba:
Ivo Mapunda, William Lucian/ Nassoro Masoud, Issa Rashid, Abdulazizi Makame, Hassan Issihaka, Said Ndemla/ Pierre Kwizera, Awadh Juma, Abdallah Seseme, Amissi Tambwe, Ibrahim Hajibu/ Shaban Kisiga na Twaha Ibrahim/ Ramadhani Singano.

Mtibwa:
Said Mohamed, Hassan Mbande/ Hassan Kessy, David Luhende, Dickson Daudi, Ally Lundenga, Henry Joseph, Vicent Barnabas/ Ally Shomari Sharrif, Musa Nampaka, Abdallah Juma/ Ame Ally Amour, Ibrahim Jeba na Mussa Mgosi/ Mohamed Ibrahim.
 
Tulificha Makucha. Jumamosi utaiona Simba Sc iliyokamilika.
 
KACHUMBARI (MtIBWA) MBWEMBWE TU CHAKULA PILAU (YANGA) BHANA
 
Yaani hili litimu kama arsenal tu!! Kama linapona hivi halafu linarejea tena!!

Ikiwa na wachezaji wao wote nyota,mikia fc wamekalia vinne taslimu kutoka kwa mtibwa sugar

Karibu ni tena vpl muendelee kugawa points kama Arse8!!

sembo wakimataifa Katavi Amavubi Makoye Matale yahoo Nakapanya kwa taarifa tu!!

Mwanzisha Uzi Huu Mbona Hujawahi Kutoa Yale Matokeo Ya Yanga Walipocheza Mechi Na Omba Omba Wa Uturuki Na Yanga Full Mkoko Wakapigwa 7 Kwa 1? au Unadhani Ni Siri? Unajua Ni Kwanini Mwandishi Mahmoud Zubeiry Hapatani Na Viongozi Wa Yanga? Jamaa Alishuhudia Hicho Kichapo Chenu Na Viongozi Wenu / Wako Ya Yanga Wakataka Kumhonga Ili Asiyatoe Hayo Matokeo Na Yeye AKAWADINDIA ( Kuwagomea ) Na Akayatoa Kwa Waandishi Wengine Na Tukazinyaka. Afterall Nimefungwa Na Mbabe Wako Wa Mara Kwa Mara Mtibwa Ila Nimeweza weza Kuchomoa Angalau Hata Vigoli Viwili Je Wenzetu Nyie Yanga Rekodi Yenu Kwa Mtibwa Sugar Ipoje? Mmeshawahi Hata Kuchomoa Tu Magoli Yao? Sasa Kikosi Cha Juzi Ni Danganya Toto Tu Na Full Mziki Wa MNYAMA Utauona J'Mosi Hapo Taifa.
 
Simba mtapigwa tu na mtaendelea kupigwa...!!!
 
Acha hasira Dada, scoreline ni ile ile Mtibwa 4 - Mnyama 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom