MTI WA KRISMASI..?

Mtoto mkubwa

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
68
Reaction score
23
Naomba nifaamishwa ni nini maana ya mti wa krismasi. maana naona ona tu cjui hata maana yake hasaaaa..
 
Inamaanisha kuwa ww unapenda sana sikukuu ya
chrismass kuliko mwaka mpyaaa
 
Alipolazwa mtoto Yesu alipozaliwa yalikua yamelazwa mamiti hayo

Njia waliyopita mama Jusi ilikua na miti hiyo njia nzima hadi walipofika alipozaliwa

Haihusiani na imani zaidi hii miti ni kumbukumbu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…