A asmara Member Joined Nov 22, 2011 Posts 20 Reaction score 3 Nov 26, 2011 #1 wanyama pori , misitu inao watetezi, lakini samaki Hakuna marufuku ya kuvua angalau Kwa mwaka ili waongezeke .je vizazi vijavyo vitakuta samaki kwenye maziwa ( lakes ) yetu au nayo yatakuwa yamekauka .
wanyama pori , misitu inao watetezi, lakini samaki Hakuna marufuku ya kuvua angalau Kwa mwaka ili waongezeke .je vizazi vijavyo vitakuta samaki kwenye maziwa ( lakes ) yetu au nayo yatakuwa yamekauka .
Mkuu wa chuo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 7,625 Reaction score 5,341 Nov 26, 2011 #2 kilio cha samaki hakina machozi!