THIS IS THE BIGGEST OPPORTUNITY FOR CHADEMA
nawashangaa watu wote wanaomsupport zitto. hoja zote zinazojengwa na hao watu ni kwa ku-ignore the fact that mipango yao ya siri ilikua na backup ya CCM. sasa unategemea nini kwa zitto kushika madara ya juu CHADEMA chini ya usaidizi wa CCM. ni mtu mwenye akili fupi tuu ndio hataelewa hili.
1. Idea for suporting zitto was introduced and promoted my CCM. and then zitto knew it and he accepted the deal
2. Strategic plans and set up was done by Kitila Mkumbo and Mwigamba.
3. FINANCIAL BACKUP, INTELLIGENCE SERVICES, AND PLANNED STRATEGIES WERE EXECUTED BY CCM AND SOME OF TISS MEMBERS
hawa wote wanaojitetea... wanajitetea kwa kutokana na hiyo point no 1 and 2. lakini kwa ujanja wao na upotishaji wao wa maukusudi wanafunika hiyo fact no 3
Zitto must be complitely terminated...
ACTION PLAN A = Kumvua madaraka = pre-emptive strike.
1. hao akina zitto na team yake wanachofanya sasa ni kuhakikisha chadema haiwavui uanachama. kuto mvua zito uanachama itakukua ni ushindi kwa zitto.. na ataendelea na mipango yake miovu ya kukiharibu chama....kwa maana atakua ndani ya chama bado...
2. kuto mvua uanachama zitto kutafanya aanze kukusanya wafuasi ndani ya majukwaa ya chadema waziwazi na hatimae kuharibu chama kabisa.
3. akiachwa atajifanya mwaminifu sana na mwenye nia njema... (hii ataifanya pia kwa ajiri ya kudaka wafuasi wake wengi zaidi)
ACTION PLAN B = kumvua uanachama = must be the target action to take
. Lazima mtu huyo asiwe mwanachama wa CHADEMA tena… atahaha kwa muda lakini hatakua na effect.. safi sana CC kwa kumpa 14 days-days ambozo watu wengi tayari tumeshajiridhisha kua huyu jamaa sii mwema kabisa.
FAIDA ZA ACTION B
1. CHADEMA itajidhihirisha kua kweli wako serious na kwa maana hiyo wataingia madarakani kwa kishindo kikuu.. na kwa ouga wa hali ya juu... watu wataacha ufisadi na ujinga wote (irresponsibility) ndani ya serikali.
2. viongozi na wanachama wote wa CDM watakua moyo mmoja with one passion, one vision and one mission kuhakikisha kua chama kinashinda uchaguzi.
mamluki hawatakua na nafasi tena... na kila mamluki ataweza kumulikwa kirahisi sana.
3. hakutakua na lelemama tena.. kila iliye chadema atakua very serious na majukumu ya kichama na kitaifa.
4. CHADEMA wataingia madarakani wakiwa ni wamoja… ready for drastic development of this nation.
Huyo jamaa ana roho wa kiburi, roho wa kujigamba, roho wa misifa, roho wa ubinafsi(u-mimi), roho ya dharua.
NCHI HII MUNGU HATARUSU KUSHIKWA NA WASHIRIKINA, WANAMITANDAO, WACHEZA RAFU NA WOTE WANAOAMINI KATIKA UCHAWI. WALE WOTE WANAOABUDU SHETANI KWA KUPITIA WAGANGA WA KIENYEJI. NCHI HAITASHIKWA TENA NA WATU WA MAZINGAOMBWE…