Mh. Nape haki huinua taifa na kinyume chake ni maangamizi. Wakati taarifa zimetoka kuwa mkutano wako na waandishi wa habari umezuiliwa. Kuna mfanyakazi (Suleman) wa Protea hotel alihojiwa (Suleman) na kuthibitisha kuwa mkutano umezuiliwa. Wakati anahojiwa na waandishi, alikiri kuwa alipigiwa simu na wateja wake ambao ni Clouds media kuwa mkutano umezuiliwa.
Swali kwa Mh. Nape, Clouds walikuwa na maslahi gani na hotuba yako mpaka waingie gharama za kukuandalia kikao? Ni hilo tu Mh. Mbunge wa Mtama.
Swali kwa Mh. Nape, Clouds walikuwa na maslahi gani na hotuba yako mpaka waingie gharama za kukuandalia kikao? Ni hilo tu Mh. Mbunge wa Mtama.