Idadi ya wapiga kura walioandikishwa ilikuwa 211276 na idadi halisi ya waliopiga kura 88834 na kura halali zilikuwa 86574 na kura zilizokataliwa ni 2260.
KIKWETE (CCM) 53,386,
RUNGWE HASHIM (NCCR-MAGEUZI) 162,
PETER MZIRAY (APPT-MAENDELEO) 869,
WILBROAD SLAA (CHADEMA) 27,721
Yahmi Dovutwa (UPDP), 0
Ibrahim Lipumba (CUF) 4,200,
Mutamwega Mgwaya(TLP) 117.
Matokeo ya Ubunge
Abdul Mteketa (CCM) 43,459
REGIA MTEMA (CHADEMA) 38550,
Zainabu Himili - 4,469,
Abdu Mnola (UPDP) 299.
Idadi ya walioandikishwa ilikuwa 211276,idadi halisi ya wapiga kura 88942,kura halali ni 86777 na kura zilizokataliwa ni 2165.
Hakukuwa na fujo ya aina yoyote ila REGIA MTEMA wa Chadema amegoma kusaini fomu za matokeo.