Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,955
The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap - Hammacher SchlemmerCool!! Where to get it from, pls?
I saw this a while back on Discovery channel kuna this one show called 'How stuff works' i think! Also kuna chemicals inside which emit compounds contained in human sweat which fools the mosquitoes some more into coming close, pia nlioiona ina addition of a small gas burner which does two things, trick the bugs into thinking its an animal(body heat) , 2nd wakishakua sucked inside burner inawachomelea mbali. Cool piece of technology!!
...............................Dynatrap ina taa aina ya florecent mbili ambazo huzalisha moinzi ya ultraviolet, mionzi hii hukutanishwa na gamba aina ya titanium dioxiding liliwekwa kwenye mtego huu na hivyo mchanganyiko huu huzalisha gesi aina ya carbon dioxide ambayo ndio hasa inayowavutia mbu na baadhi ya videde vingine vinavyoruka, harufu itokayo katika kijigajeti hichi ni sawa na ile ya binadamu anapopumua na kutoa gesi ya CO[SUB]2[/SUB] ambayo wadudu hawa ndio huvutika nayo.
Sasa ni vipi mbu au wadudu wengine hunaswa na mtego huu baada ya kuvutika na harufu hii?.............
Ahsante kwa taarifa mkuu....
RED: mimi nadhani mbu kuna vitu vingine vya ziada ambavyo wanavifuata kwa binadamu siyo ges ya CO2 pekee; sababu hasa ya kudhani hivyo ni kuwa kwa elimu ndogo niliyonayo ya mambo ya kibaiolijia kwa viungo vya binadamu vinavyotumika kutoa gesi hiyo mwilini vinajulikana,bado(katika kuishi kwangu katika mazingira ya mbu) sijawahi kuona mbu hao wanarudikana (concetrate) kwenye viungo hivyo. mfano zijawahi ona mbu wana shambulia pua kwa wingi wakifuatilia CO2.
Naomba ufafanuzi zaidi kama nimeelewa soma lako visivyo juu ya mbu kuvutiwa na gesi ya CO2 kutoka kwa binadamu.
Mkuu Mawenzi ukitaka hebu tembelea hapa The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap - Hammacher SchlemmerCool!! Where to get it from, pls?
Duh!Nikisema huyu jamaa hajui kiswahili vizuri, ataona namsifia, na nikisema ni msomi sana hajui atumie lugha ipi pia nitakuwa nimemsifia sana, ila nikisema huyu jamaa hajui kiingereza ndiyo maana anaweka na kiswahili, lazima anitukane, na nikisema huyu jamaa sio mswahili ila anajitahidi kuweka na kiswahili pia naweza nikawa nimemuudhi zaidi kwa kuwa nimeleta ubaguzi.sasa lipi ni lipi?I saw this a while back on Discovery channel kuna this one show called 'How it works' i think! Also kuna chemicals inside which emit compounds contained in human sweat which fools the mosquitoes some more into coming close, pia nlioiona ina addition of a small gas burner which does two things, trick the bugs into thinking its an animal(body heat) , 2nd wakishakua sucked inside burner inawachomelea mbali. Cool piece of technology!!
Duh!Nikisema huyu jamaa hajui kiswahili vizuri, ataona namsifia, na nikisema ni msomi sana hajui atumie lugha ipi pia nitakuwa nimemsifia sana, ila nikisema huyu jamaa hajui kiingereza ndiyo maana anaweka na kiswahili, lazima anitukane, na nikisema huyu jamaa sio mswahili ila anajitahidi kuweka na kiswahili pia naweza nikawa nimemuudhi zaidi kwa kuwa nimeleta ubaguzi.sasa lipi ni lipi?
Mkuu Mawenzi ukitaka hebu tembelea hapa The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap - Hammacher Schlemmer
The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap.
[*=left]Description
[*=left]Reviews
[*=left]Lifetime Guarantee
This trap attracts and kills mosquitoes across one acre without harmful chemicals. The trap mimics the natural conditions of human habitation by emitting heat and odorless carbon dioxide (the same gas people expel during
respiration) and light to lure mosquitoes. Carbon dioxide is generated when ultraviolet rays from two fluorescent bulbs react with a titanium dioxide coating inside the trap. When the mosquitoes are drawn inside the device, an integrated
fan traps the insects and sends them to a removable net where they die of dehydration. Unlike propane systems that require frequent refills or electrocution traps that release pathogens when an insect is killed, this superior model uses 5,000-hour rated UV bulbs and does not create biological agents. Plugs into AC. 22" H x 13" Diam. (9 lbs.)
Reviews
The One Acre Natural Attractant Mosquito Trap comes with The Hammacher Schlemmer Lifetime Guarantee at no additional charge. If this product ever disappoints you, for any reason, you may return it for exchange, credit, or refund.
Should you have any questions, we are available 24 hours a day, seven days a week. Please call 1-800-321-1484 to speak with a product specialist or email us at customerservice@hammacher.com to receive a response within one hour.
Item 81846
Price $199.95
ha ha ha ha nyie waswidi mna mambo!hahaha as they say, Vad gör dig lycklig
jag heter du?hahaha as they say, Vad gör dig lycklig
jag heter du?
Mkuu Mawenzi Sijuwi kama hapo Tanzania hizo zimeshafika? ngojea Wadau wengine huenda tukampata mtu anaye na anaweza kutueleza wapi zinapatikana? mimi ninazidi kufuatilia kisha nitakupa feedback inshallah.Ahsante sana MziziMkavu. Tatizo kkwa wabonngo ni jinsi ya kupata forex. Je hakuna local dealer hapa bongo??