Mtego wa Kufikiri

Fence/uzio utakuwepo, wangeoverlap tu upande mwingine kutokana nz kusukumana...
 
Kondoo wana tabia ya kuigana katika matendo, kwa mfano kondoo wa kwanza akipita sehemu flani akaruka wanaofuatia pia wataruka hata kama hakuna ulazima wa kuruka, simply they don't reason(think).
Nadhani mantiki ya mleta picha iko katika suala la uwezo wa kufikiri hasa watanzania[emoji23] [emoji23]
 
Acha kuwatukana kondoo pamoja na kuwa ni vilaza. Fence ipo hapo.
 
Kondoo kama 'nyumbu'.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…