Chief Rumanyika
Senior Member
- Dec 29, 2010
- 138
- 0
Hivi sisi watanganyika hutuwe kujipanga tukawashitaki hawa akina RA, EL na Visenti kwa mashirika ya kimataifa pamoja na wafadhi wanao saidia bujeti yetu wakawekewa vizuizi vya kwenda ughaibuni ikiwa nipamoja kuzifilisiwa account zao zote za nje pamoja za hapa nchini? Tuamke watanganyika kumtetea huyu mama yetu.
Changuo liko mkononi mwao CCM ama kujinyonge hili kamba la Dowans sasa hivi tu au vinginevyo. Tunashukuru sana mtego huu wameusuka wenyewe tu na wa kunasia mle ndani si mwingine.
Wa-Tanzania wapiga kura sasa tuko pembeni baada ya Werema KUJITANGAZIA KUFUNGA mjadala wa walipa kodi kuvurumsha maswali kutaka kujua mambo mengi sana kabla ya malipo yoyote kwenda Dowans.
Waliochimba shimo watatumbukia wenyewe!
duh kweli wa tz siye wapumbavu
Yaani unataka kusema tuwashitaki RA na EL na kumwacha mhusika mkuu ambaye uwezo wote wa kuwawajibisha uko mikononi mwake kikatiba, kiserikali na kichama. Mbona tunadanganyana hapa ?
Waliochimba shimo watatumbukia wenyewe!
DKama vipi..mimi nitajitolea BURE kuandika LEGAL OPINION kwenye hii HUKUMU YA ICC kati ya DOWANS na TANESCO kumshauri Rais wetu afanye nini baada ya hapa.... Kama aliyepewa hilo Jukumu haliwezi. I am ready to do it..for the sake of my country and its people. Tunasoma tuwezi kulisaidia taifa letu. Sasa kama hatuwezi hata kutetea maslahi ya taifa at its hour of need, ni usaliti.
I challenge my fellow compatriots. Lets stand up and say no to this day time robbery of our hard earned shilling.
Wapi Waria KInana na mgosi Makamba?
Wapi Malaria Sugu?
Wapi mwenyekiti wa watanzania New York aliejigamba kupewa $ 2000 na mheshimiwa Pinda na kudai CCM ni safi?
The thing is, hatakusikiliza. Hakuna njia ambayo kama individual unaweza kuchukua legal action against hii judgement, badala tu ya kuishia kutoa "legal opinion"? Nipo radhi kuchangia move ya namna hii.
Mkuuu nami hapo ndipo nilitaka kujua CCM wapo ki CCM zaidi au Kiserikali zaidi wanapo taka madaraka huwa wanapiga Domo sana lakini kwa hili la matatizo wako wapi Je wanafurahii hili la TANESCO kuongeza bei ya umeme?? Je wanafurahi Serikali inaongozwa na CCM kulipa pesa yote hiyo ya walipa Kodi ukizingatia wana CCM nao inawahusu mbona hili Makamba wa Kinana kuliijia juu na kuikanya serikali walio ipa Uongozi kwa kupitia NEC kuwa hili sio jamani???
Na kwanini Hao wanao tajwa kuhusu DOWANA RA,EL,RAU_MASHA,MKONO wasijitokeze kuwa wao sio wamiliki maana wanachafuliwa majina na wanakaaa kimya kwanini???
Hivi sisi watanganyika hutuwe kujipanga tukawashitaki hawa akina RA, EL na Visenti kwa mashirika ya kimataifa pamoja na wafadhi wanao saidia bujeti yetu wakawekewa vizuizi vya kwenda ughaibuni ikiwa nipamoja kuzifilisiwa account zao zote za nje pamoja za hapa nchini? Tuamke watanganyika kumtetea huyu mama yetu.